Bangi sio Kinywaji kizuri

Mwenye kosa ni huyo aliyeweka sanam yake hapo. Kwa nini usiku huiondoa? Jamaa alitaka kuona kulikoni
 
Yuko sawa, kuliko kujihoji akilini na ukakosa jibu au kusumbua watu, bora kuhakiki. A.k.a usinchoshe nisikuchoshe. Kigoma 1 hiyo njemba!
 
Dah haya bana ,ukiona hivyo kichwa chepesi hicho aachane na ganja atafute kitu kingine cha starehe
 
Watu wa hivo usimwachie katoto kako akushikie anaweza kutaka kuhakikisha jinsia yake,sasa kitakachofuata ndio shida.
 
ni kweli kabisa , matokeo ya bangi yamewaathiri wengi ukiwemo wewe unayesema Bangi ni kinywaji.
 
huyu atakuwa LUKELO SAKAFU akibadilika taratiiiibu kujiridhisha kimya kimya badala ya kuuliza vijiswali vyake!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…