Samsonkube
New Member
- Apr 18, 2009
- 3
- 2
Wavuta Bhangi walikuwa wakivuta bhangi kwenye jumba kubwa linaloendelea kujengwa. Bangi ikiwa imewakolea, wakaishiwa kiberiti. Mmoja wao wakamwagiza akaazime kiberiti.
Mwenzao akazunguka kwenye hilo jengo akatokea palepale alipokuwa na mazungumzo na wenzake yakawa hivi. (Bila kujua kuwa anaozungumza nao ni hao wenzanke waliomtuma akaazime kiberiti)
Mvuta Bhangi: Washikaji mna kiberiti sisi tumeishiwa? Huku akiyumba na jicho linarembua.
Wenzake: Subiri hapa kuna mwana tumemwagiza analeta sasa hivi (Bila kujua waliemuagiza ndio anayewaomba)
KWELI BHANGI NOMA!!!!!!