Jamaa wamekaa jumba bovu wanapuliza bangi,wakaishiwa kiberiti, si wakamtuma mwenzao akaombepopote, jamaa akazunguuka akatokea palepale akawaambia masela naombeni kiberiti na kwa sababu jamaa nao walikuwa wamekolea wakajibu, tumemtuma mshikaji kaa tumsubiri.