Bangi noma aseeeh!

Bangi noma aseeeh!

asakuta same

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
14,829
Reaction score
5,039
Wavuta bangi wawili
waliliona embe juu ya mti
wakaamua
kuliangusha.Walirusha
mawe mengi bila
kufanikiwa kuliangusha
lile embe.Mvuta bangi
mmoja akasema;isije
ikawa embe lenyewe
bichi,ngoja nipande juu
nikalicheki.Baada ya
dakika 5,yule mvuta bangi
akashuka
chini,akamwambia
mwenzie; oyaaah nimelibonyeza
limeiva vizuri
kabisa,tuendelee
kuliangusha mchizi wangu!!
 
Oya aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeee hiyo kali badala ya kulichuma ashuke nalo...
 
nimecheka sana, kweli bangi nouma!!
 
du lakini mana mie niliwahi kula mti wa muanzi nikidhani muwa wacha nichane domo langu
 
Duh! Hii kali! Sasa mwingine bangi ilimkolea kinoma, aliporudi maskani kwao akamvizia bibi yake mzaa babake mzazi akambaka. Dindi kuja kukuta skendo hiyo akaamu kumtimua home. Wakati anasepa, mvuta bangi akada, "we baba hunipendi tu, yani kulala na mamako siku moja tu ndo imekuwa nongwa! We mbona unalala na mamaangu kila siku wala sina noma".
 
yahani jamaa kapand ampaka juu na kushuka bila kulichumka aisee kweli noma
 
Huu usemi unamaana sana kwa siasa zetu hapa nchi kwa sasa
 
hivi kuna wanaume hawajawahi kutumia kabisa hii kitu enzi za ujana wao?
 
[h=6]watoto walikuwa wanacheza, mara mwenzao akaanza kulia. Akapita Mtumishi wa Mungu akamuuliza, UNALIA NINI?
Mtoto: natafuta yeboyebo zangu, kuna mtu amezichukua,,!
Mtumishi wa Mungu: 'POLE, NYAMAZA MWACHIE YESU TU' Mtoto; YESU HAZIMTOSHI ZILIKUWA NDOGO SANA!!
[/h]
 
watoto walikuwa wanacheza, mara mwenzao akaanza kulia. Akapita Mtumishi wa Mungu akamuuliza, UNALIA NINI?
Mtoto: natafuta yeboyebo zangu, kuna mtu amezichukua,,!
Mtumishi wa Mungu: 'POLE, NYAMAZA MWACHIE YESU TU' Mtoto; YESU HAZIMTOSHI ZILIKUWA NDOGO SANA!!
hahahahahahahaha! inawezekana dogo alikuwa hamjui hata yesu ni nani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom