Bangi ni Noma!!! Ona hii

Bangi ni Noma!!! Ona hii

WISE 2012

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
634
Reaction score
460
Ni saa 7 usiku Eneo la KIMARA DAR, mwendesha bodaboda anamalizia kuvuta bangi. Anaingia bafuni na kujimwagia kopo la kwanza la maji na la pili, anashtuka na kuanza kupiga makelele na kutoka nje akidai bafuni kuna majini. Watu wanakuja wanamkuta uchi. Wanamuuliza kulikoni, anasema kila akijimwagia maji kichwani nywele hazilowi. lazima bafuni kuna majini. kumwangalia vizuri kichwani kumbe kavaa HELMET.
'''BANGI SOOOO'''
 
Hii ni ya lile jukwaa letu...sio huku

Asikwambie mtu, kuna kijana alilivuta mchana wa saa saba likamzingua akawa anaona giza, ikabidi awashe koroboi (kibatari) mchana kweupe akawa anatembea nayo akiwa ameinama kama babu kikongwe huku akisema;
''Oyaa masela washen taa tuonane au nyie hamuuoni usiku?"
BANGI NOMA.
 
hahahahahahahahahahahahahaaaa.... with stress I have, I needed this, asante mkuu
 
Asikwambie mtu, kuna kijana alilivuta mchana wa saa saba likamzingua akawa anaona giza, ikabidi awashe koroboi (kibatari) mchana kweupe akawa anatembea nayo akiwa ameinama kama babu kikongwe huku akisema;
''Oyaa masela washen taa tuonane au nyie hamuuoni usiku?"
BANGI NOMA.
Huyo atakua alikunywa chang'aa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom