BANGI MBAYA

Kuna majani haramu mkuu, usisikie. Kula tu mboga zinazo eleweka, ukila haya madudu ya kijamaika lazima tu utakuwa na itilafu fulani miongoni mwako.
 
Kuna siku nilivuta bangi na masela kama nusu kilo tulikuwa watu 16. Kuanza kutembea nilidhani nipo baharini kumbe nakanyaga barabara.
 
Back
Top Bottom