tena unakesi ya kujibu umeniruhusu nicheke mpaka nmechana mbavu.Mbona una[emoji24] [emoji24]
umenichekesha sana..aisee[emoji15] [emoji15] [emoji15] duuuh
hahaha...... nmefurahi kuwepo jf.Mi naona bangi hapo ni za mleta thread.
"..Kichwa kisicho na Akili, ni bonge la adhabu kwa miguu.."