Bangi kuwa deal duniani..


ni wakorofi kwa sababu ya nature tu mkuu, huku kesi ya bangi inachukuliwa kama kesi ya madawa ya kulevya.

Afu ujue wanaovuta bangi kwa huku kwetu, ni wengi ila hawajulikani, hao wanaojulikana ni wachache tu!
ndiyo maana tuna wachukulia kama vibaka na watu wakorofi.
 
Jibu na hilo swali la kwanza pia...

Sasa kama ni watu na sisi ni watu kwa nini ushangae nikitumia msemo uliotumiwa na watu wenzangu!!!

basi yaishe mkuu isiwe tabu ila hao watu wa zamani wana mawazo ya kizamani pia!
 
bangi some people take as medication others run mental disorder . haifai kwa matumizi ya baadhi ya watu
 

Lakini pia tukumbuke wenzetu wamefanya research hadi kufikia kuipitisha wakati sisi tunatafuta bangi ya arusha ikiaminika ni kali wenzetu hilo jani wanatumia kutibia wagonjwa kama cancer huwapunguzzia maumivu kwa asilimia kubwa,pia nagonjwa kma seizure na mengine jani lisilo kali ndo linauzwa mitaani na ni ruksa kuvuta ktk majimbo mengi marekani ikiaminika haina madhara so yapaswa tujipange kwanza.kwa hapa kwetu ni bora itumike kama dawa tu maana ikipitisha watt wetu watakuwa vichaa
 

Hata hapa kwetu iruhusiwe tu..haina madhara zaidi ya faida...
 

Niinbox tutete kidogo mkuu.
 

Mkuu hapa Tanzania watu wanakula mjani hata usiowategemea, wanajificha sana kwa sababu tu jamii isiwaone namna gani, lakini hao vibaka wanajulikana kwa sababu ya mazingira wanayovutia! Kuna madaktari, wanasiasa wenye nafasi kubwa, wafanyabioashara wakubwa wanaoheshimika wanakula kijiti chinichini hawajulikani, tena hao ndiyo wengi hasa. Nakumbuka enzi tuko shuleni tulikuwa tunasoma na dogo mmoja baba yake ni figure kubwa sana hapa Tanzania, anasema baba yake alikuwa na chumba cha kusomea ambacho haruhusiwi kuingia mtu, na mzee akiingia mle haruhusiwi kusumbuliwa kwa namna yoyote, siku moja ilitokea emergency ikabidi dogo aende kumwita mzee, akaingia bila hodi....akamkuta mzee amekaa kwenye recliner anaswing tartibu na moshi mzito wa jani!
Hebu fafanua kitaalam zaidi hiyo sentensi yako ya mwisho!
 
Legalize marijuana.

Cigarette smoking is dangerous, hazard to ur head
 

hata dogo langu anavuta na ni msomi hakuna anayejua
 
Vitabu vyetu Biblia na Quran vinasemaje kuhusu bangi Mwenye kujua anijuze

Kila chenye kulewesha hakifai kutumia, hata kama utatumia kwa uchache tu.

So km bangi inaleta nishai km ya vilevi vengine basi haifai kutumia.

Laa km ipo km sigara tu basi ni makruh, yani usiitumie sehem ambazo unahisi utakirihisha wengine km kwa harufu yake nk.

Lkn mwisho kabisa angalia jee haina madhara kiafya? Chochote chenye madhara hakifai kutumia, mfano km kitapelekea maradhi, au kifo

Mwenyezi Mungu katuumbia vingi vyenye faida kwa nn basi tutumie vyenye kutudhuru?
 
\
Holly Shit!!! Unajua ulishokiandika lakini Mkuu hapo kwenye red?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…