Hilo jani ni sacred.
tz should legalize it mapema so as to reap faida zake mapema,
sababu mwisho wa siku litatumika tu duniani kote,
iruhusiwe mapema meanwhile in the short run period tupate ma supernormal profit kwa ushuru wa ndani na exports,
Wengine wakija kurupuka huko late in the long run period sasa sisi tunakuwa tunawashinda kwa experience na kila kitu.
Marekani wajanja sana washaona hilo, waafrika tunasubiri weupe wote walegaliza ndio tuige na sisi, na watatuuzia hadi zitazovunwa hapahapa, si hawa viongozi wetu wanagawa gawa ardhi kwa wageni, mtu anatoka na ujuzi wake huko anayapanda hapa anatuuzia, chezea watu wajanja, wametukataza tusitumie sasa hivi haohao wanaruhusu, jiulize kwann, ts all abt money mazee, they foresaw.
Na bangi haivutwi tu ina matumizi kibao, mia kidogo apart from smoking.
To make long stry short, me ni large scale pusher, therefore yeyote ataehitaji popote pale tz nitadeliver hadi mlangoni, pm me if interested.
ulipaswa kupata like sema tu natumia mchina..Baadhi ya majimbo nchini marekani yatadhibitisha matumizi ya Bangi hospitalini kama dawa..
Ni fursa sasa na nchi yetu kujipanga ili hili zao liweze kuongeza mapato ya nchi.
CNN
me nataka ile kali sana uki-smoke tu inaingia mpaka kwenye mifupa kama zile za masaki ni kali sana kimoja tu unasizi.
Hilo jani ni sacred.
tz should legalize it mapema so as to reap faida zake mapema,
sababu mwisho wa siku litatumika tu duniani kote,
iruhusiwe mapema meanwhile in the short run period tupate ma supernormal profit kwa ushuru wa ndani na exports,
Wengine wakija kurupuka huko late in the long run period sasa sisi tunakuwa tunawashinda kwa experience na kila kitu.
Marekani wajanja sana washaona hilo, waafrika tunasubiri weupe wote walegaliza ndio tuige na sisi, na watatuuzia hadi zitazovunwa hapahapa, si hawa viongozi wetu wanagawa gawa ardhi kwa wageni, mtu anatoka na ujuzi wake huko anayapanda hapa anatuuzia, chezea watu wajanja, wametukataza tusitumie sasa hivi haohao wanaruhusu, jiulize kwann, ts all abt money mazee, they foresaw.
Na bangi haivutwi tu ina matumizi kibao, mia kidogo apart from smoking.
To make long stry short, me ni large scale pusher, therefore yeyote ataehitaji popote pale tz nitadeliver hadi mlangoni, pm me if interested.
...binafsi sielewi na wala hainiingii akilini kabisa kwanini SIGARA inayosababisha magonjwa zaidi ya 40 iwe HALALI, halafu BANGI inayotibu magonjwa zaidi ya 40 iwe HARAMU.
Nionavyo mimi ni kichaa tu cha uroho wa mabepari. Bangi haipewi 'fursa' sababu matumizi yake ni DIY, haihitaji kupitia kiwandani, na itapunguza demand ya madawa mengi yanyoendelea kutuua daily.

Kumbe kuna kitu cha masaki eeh?