BANGI imeniongezea mvuto kwa wanawake

BANGI imeniongezea mvuto kwa wanawake

bafetimbi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
1,085
Reaction score
1,761
Hii nimeichunguza mara nyingi sana kila ninapotoka kula wida a.k.a bangi halafu niko njiani natembea huku nikitafakari kwa kina mambo yangu, mbele akitokea mdada tukiangaliana face to face ni lazima mdada atatoa tabasamu zuri kwa mbaali (kitu ambacho hakitokei nikiwa sijavuta). Na tunapo karibiana wanaanzaga wenyewe kusalimia (midada mingi ya siku hizi haisalimii) nikajiuliza au naonekana kituko? si unajua tena vibe la kush likikolea ni hatari.........nikaanza kamchezo kila nikiwa high nikikutana na mwanamke tukiangaliana akitabasamu tu mi natongoza, toka nianze hako kamchezo sijawahi kataliwa wala kuzungushwa na manzi nikiwa na stim za Bangi (HIGH). Jana nimeshakula mjani wangu mida ya aftanuni niko zangu roadi nakutana na dada wa makamo ivi katoka dukani anataka kufungua mlango wa gari yake aingie lakini ghafla tukafanya eye contact akavua na miwani kabisa ili anione vizuri halafu akatabasamu kwa mbaali kama wengine, nikamsogelea tukaongea kidogo akaniachia namba ya simu.... usiku tumeongea sana nikamwambia tuonane leo saa 17:30 jioni nimpige mashine kakubali, ila nimemuonya sehemu tutakayo kutana asije na kagari kake (sitaki michoro mimi).....Hivyo ndo bangi inavyo nifanyia mimi siiachi.... waiache wale inayowapeleakea kuiba na kuwa wagomvi lakini si mimi JAH BLESS I AND I, YA GYAL YA SAY YA LUV MI......MI LUV YA TOO GYAL BUT MA LIFE IZ EVERYTIN......AND REMEMBA DI BIBBLE IZ A RECORD OF HUMAN CREATION FROM OUR JAH
 
Hii nimeichunguza mara nyingi sana kila ninapotoka kula wida a.k.a bangi halafu niko njiani natembea huku nikitafakari kwa kina mambo yangu, mbele akitokea mdada tukiangaliana face to face ni lazima mdada atatoa tabasamu zuri kwa mbaali (kitu ambacho hakitokei nikiwa sijavuta). Na tunapo karibiana wanaanzaga wenyewe kusalimia (midada mingi ya siku hizi haisalimii) nikajiuliza au naonekana kituko? si unajua tena vibe la kush likikolea nikaanza mchezo..... kila nikiwa high nikikutana na mwanamke tukiangaliana akitabasamu tu mi natongoza, toka nianze hako kamchezo sijawahi kataliwa wala kuzungushwa na manzi nikiwa na stim za Bangi (HIGH). Jana nimesha mjani wangu mida ya aftanuni niko zangu roadi nakutana na dada wa makamo ivi katoka dukani anataka kufungua mlango wa gari yake aingie lakini ghafla tukafanya eye contact akavua na miwani kabisa ili anione vizuri halafu akatabasamu kwa mbaali kama wengine, nikamsogelea tukaongea kidogo akaniachia namba ya simu.... usiku tumeongea sana nikamwambia tuonane leo saa 17:30 jioni nimpige mashine kakubali, ila nimemuonya sehemu tutakayo kutana asije na kagari kake (sitaki michoro mimi).....Hivyo ndo bangi inavyo nifanyia mimi siiachi.... waiache wale inayowapeleakea kuiba na kuwa wagomvi lakini si mimi JAH BLESS I AND I, YA GYAL YA SAY YA LUV MI......MI LUV YA TOO GYAL BUT MA LIFE IZ EVERYTIN......AND REMEMBA DI BIBBLE IZ A RECORD OF HUMAN CREATION FROM OUR JAH
Mkuu pole sana, lile wenge ndo linakufanya uone kama katabasamu, hiyo haina utofauti na K-Vant. Ukilewa hata kila mwanamke ni binti pia mrembo hatar, subir sasa pombe ikate utashangaa.
 
JAH BLESS I AND I, YA GYAL YA SAY YA LUV MI......MI LUV YA TOO GYAL BUT MA LIFE IZ EVERYTIN......AND REMEMBA DI BIBBLE IZ A RECORD OF HUMAN CREATION FROM OUR JAH
Umeniacha njia panda, lete ufafanuzi tafadhari wa huo mstari.
1121388

Uzi pila picha hujakamilika!, nimekamilisha kwa hii picha
 
Hii nimeichunguza mara nyingi sana kila ninapotoka kula wida a.k.a bangi halafu niko njiani natembea huku nikitafakari kwa kina mambo yangu, mbele akitokea mdada tukiangaliana face to face ni lazima mdada atatoa tabasamu zuri kwa mbaali (kitu ambacho hakitokei nikiwa sijavuta). Na tunapo karibiana wanaanzaga wenyewe kusalimia (midada mingi ya siku hizi haisalimii) nikajiuliza au naonekana kituko? si unajua tena vibe la kush likikolea ni hatari.........nikaanza kamchezo kila nikiwa high nikikutana na mwanamke tukiangaliana akitabasamu tu mi natongoza, toka nianze hako kamchezo sijawahi kataliwa wala kuzungushwa na manzi nikiwa na stim za Bangi (HIGH). Jana nimeshakula mjani wangu mida ya aftanuni niko zangu roadi nakutana na dada wa makamo ivi katoka dukani anataka kufungua mlango wa gari yake aingie lakini ghafla tukafanya eye contact akavua na miwani kabisa ili anione vizuri halafu akatabasamu kwa mbaali kama wengine, nikamsogelea tukaongea kidogo akaniachia namba ya simu.... usiku tumeongea sana nikamwambia tuonane leo saa 17:30 jioni nimpige mashine kakubali, ila nimemuonya sehemu tutakayo kutana asije na kagari kake (sitaki michoro mimi).....Hivyo ndo bangi inavyo nifanyia mimi siiachi.... waiache wale inayowapeleakea kuiba na kuwa wagomvi lakini si mimi JAH BLESS I AND I, YA GYAL YA SAY YA LUV MI......MI LUV YA TOO GYAL BUT MA LIFE IZ EVERYTIN......AND REMEMBA DI BIBBLE IZ A RECORD OF HUMAN CREATION FROM OUR JAH
Una miaka mingapi?
 
Sitaki niseme ni matumizi mabaya ya bange aka ndumu ...mwanzoni mwa miaka ya 1990s nkiwa na bro nduruma arusha tukipiga hiyo kitu tunalima hatari
 
Back
Top Bottom