BANGI imeniongezea mvuto kwa wanawake

BANGI imeniongezea mvuto kwa wanawake

.Hivyo ndo bangi inavyo nifanyia mimi siiachi.
Mkuu, madawa yote ya kulevya huwa yanakusaidia mwanzo ila baada ya muda hukuharibu na kukuacha na madhara makubwa kuliko yalivyokukuta.
Ni sawa na mtu anakusaidia sh elfu kumi alafu anakuibia laki!
 
Mwakaleli..rungwe milimani kuna kitu sio ya kitoto...inapendeza zaidi ukichanganya na choo ya kitimoto....seriois widaaa
 
Unaleta maada ya kishoga ili upate bwana yaan umekosa watu wa kukusugua hadi umeanza kututafuta kwa nguvu. Bahati mbaya tushaoa
We dada kunakitu unanitafuta.......kwani yule bwanaako kasafiri?
 
Hii nimeichunguza mara nyingi sana kila ninapotoka kula wida a.k.a bangi halafu niko njiani natembea huku nikitafakari kwa kina mambo yangu, mbele akitokea mdada tukiangaliana face to face ni lazima mdada atatoa tabasamu zuri kwa mbaali (kitu ambacho hakitokei nikiwa sijavuta). Na tunapo karibiana wanaanzaga wenyewe kusalimia (midada mingi ya siku hizi haisalimii) nikajiuliza au naonekana kituko? si unajua tena vibe la kush likikolea ni hatari.........nikaanza kamchezo kila nikiwa high nikikutana na mwanamke tukiangaliana akitabasamu tu mi natongoza, toka nianze hako kamchezo sijawahi kataliwa wala kuzungushwa na manzi nikiwa na stim za Bangi (HIGH). Jana nimeshakula mjani wangu mida ya aftanuni niko zangu roadi nakutana na dada wa makamo ivi katoka dukani anataka kufungua mlango wa gari yake aingie lakini ghafla tukafanya eye contact akavua na miwani kabisa ili anione vizuri halafu akatabasamu kwa mbaali kama wengine, nikamsogelea tukaongea kidogo akaniachia namba ya simu.... usiku tumeongea sana nikamwambia tuonane leo saa 17:30 jioni nimpige mashine kakubali, ila nimemuonya sehemu tutakayo kutana asije na kagari kake (sitaki michoro mimi).....Hivyo ndo bangi inavyo nifanyia mimi siiachi.... waiache wale inayowapeleakea kuiba na kuwa wagomvi lakini si mimi JAH BLESS I AND I, YA GYAL YA SAY YA LUV MI......MI LUV YA TOO GYAL BUT MA LIFE IZ EVERYTIN......AND REMEMBA DI BIBBLE IZ A RECORD OF HUMAN CREATION FROM OUR JAH
Kinyume na Sheria
 
Back
Top Bottom