Bangi iliyofunikwa bendera ya CCM yakamatwa

Bangi iliyofunikwa bendera ya CCM yakamatwa

Hakika ni mali yao mkuu; ziadi ya robota 4 zilizungushiwa kanga a ccm:kev:
 
Taarifa ya habari ya ITV inaonesha bangi iliyokamatwa kwenye magunia na kufunikwa kwa bendera ya CCM ikiteketezwa na polisi hii itakuwa mali ya Chana hicho tawala huko Tanzania

Nimewasikia kwa masikio yangu wanaccm wengi tu wanasema fanya kitu chochote ila weka tu bendera ya ccm hautaguswa hata ukikamatwa unatetewa. Ukipita pale Kimara mwisho Dar...pale zinapopaki daladala za ziendazo kwa komba na matosa kuna banda mwisho mwisho asubuhi kuna mama anauza chai, bangi, sembe na mapochopocho mengine halafu mchana mateja na makonda wanaendeleza kamali na sembe yaani hawana habari wamefunga bendera zao za ccm wanajihakikishia kinga . Hio ndio Ccm ya leo
 
Meno ya tembo wanauza wao,Twiga,Madawa ya kulevya Nasasa Bangi,kweli CCM noma na hakuna wa kumfunga paka kengere,Baba,Mama,Mtoto,Shangazi,Mjomba,Babu na Bibi wote wezi,CCM ni majanga tupu.
 
Taarifa ya habari ya ITV inaonesha bangi iliyokamatwa kwenye magunia na kufunikwa kwa bendera ya CCM ikiteketezwa na polisi hii itakuwa mali ya Chana hicho tawala huko Tanzania

Mkuu hata mimi nimeona!
Magunia ya bangi yamefunikwa kwa vitenge vya ccm.
Kilichonishangaza ni kuona mbele ya Afande Sabas wakianza kuzichoma hizo bangi upesi upesi, huo si ushahidi wa kupelekwa mahakamani? Ama afande alikuwa anajaribu kuficha ili isije kujulikana nani mwenye mzigo?
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni!
Wameshikwa pabaya...
 
Masisisem yana laana kila uchafu wao wanaufanya, mabomu,matindikali, nmasembe, mabangi, maugolo wao tu wanatuhumiwa
 
Taarifa ya habari ya ITV inaonesha bangi iliyokamatwa kwenye magunia na kufunikwa kwa bendera ya CCM ikiteketezwa na polisi hii itakuwa mali ya Chana hicho tawala huko Tanzania

ni kweli na mimi nimeona kwenye taarifa ya habari itv saa mbili
 
Yan mwenyewe nimeona ITV bangi ikiwa imefungwa kwenye khanga ya ccm.
Hik chama wote ni watumiaji na wauzaji wa madawa ya kulevya na bangi na hoja zao ndo maana zipo kiteja.
Cc
Hamy-d
Ritz
chama
all buku 7 fc.
 
Kumbe kinani hadi kwenye Bange yupo?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kweli aisee, ukikamatwa na ngozi wewe ndiyo mwizi. Nimeamini w thinking capacity yetu ni ndogo sana yaani kitu kidogo hichohicho na ndiyo tatizo la chama kutokua na sera zinazoeleweka
 
Waziri mkuu mstaafu Sumai,alisha wai kusema ukitaka biashara yako iki yookee wewe jiunge na CCM.
 
Taarifa ya habari ya
ITV inaonesha bangi iliyokamatwa kwenye magunia na kufunikwa kwa bendera
ya CCM ikiteketezwa na polisi hii itakuwa mali ya Chana hicho tawala
huko Tanzania

CCM haiwezi kufanya biashara ya kipuuzi kama hiyo. hayo ndo mambo ya CDM bana
 
Nimeishuhudia kwa ITV......
Kumbe KISAMVU a.k.a khanga za CCM zina matumizi mengi vile?!
 
Mkuu hata mimi nimeona!
Magunia ya bangi yamefunikwa kwa vitenge vya ccm.
Kilichonishangaza ni kuona mbele ya Afande Sabas wakianza kuzichoma hizo
bangi upesi upesi, huo si ushahidi wa kupelekwa mahakamani? Ama afande
alikuwa anajaribu kuficha ili isije kujulikana nani mwenye mzigo?
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni!
Wameshikwa pabaya...

inavoelekea hujui hata kidogo sheria inasemaje juu ya bangi. na yale mashamba yanayoteketezwa unataka kutuambia kuwa polisi pia hawajui kazi zao?
 
Hii News akiipata savimbi basi siku si chache utasikia Bangi imekamatwa huku imefunikwa na magunia yenye bendera za cdm
 
Back
Top Bottom