Bangi ihalalishwe


Jifunze kuandika mkuu hapa sio Facebook
 
Na vipi kuhusu gomba? Ihalalishwe au?
 
Kazi kwelikweli! tunahitaji wataalamu-wa-ukweli waweke wazi (scientifically) athari za bangi, ili watu waelewe, maana yake wengine wametumia mpaka wamefika uzeeni (at advanced age) bila kuprove madhara yake!
 
kazi kwelikweli! tunahitaji wataalamu-wa-ukweli waweke wazi (scientifically) athari za bangi, ili watu waelewe, maanayake wengine wametumia mpaka wamefika uzeeni (at advanced age) bila kuprove madhara yake!

Wataalam wa nini kitu kipo clear hakuna madhara
 
wataalam wa nini kitu kipo clear hakuna madhara

nduguyangu, mi nadhani ina madhara; mbona wengine wakishavuta hata watoto wanakaa mbali, wanaona live brother kashageuka kawa mnyama!
 
Serikali zote duniani zinakataza madawa ya kulevya.Bange ipo katika kundi la madawa ya kulevya.Retrospective na prospective studies zinabainisha kuwa madhara yanaweza kutokea kwa muda ambao mtumiaji anavuta au baada ya muda ya mrefu baadae.Yapo madhara kibao ya bange au madawa ya kulevya,makubwa kabisa ni mawili ambayo ni kuharibu nguvu za kiume na kuvuruga akili za watu.Matendo mengi maovu kama ujambazi,mauaji,ubakaji,kiburi,ujeuri na mengine mengi yanafanywa na watu ambao ujasiri wake huchochewa na bangi au madawa mengine ya kulevya.Athari za upungufu wa nguvu za kiume zitokanazo na bange ni nyingi mno miongoni mwa jamii inayotuzunguka.Lakini si rahisi hata kidogo kwa mtu mwingine wa kawaida kujua kuwa fulani ni ------- kwa sababu tatizo hilo ni la aibu kama ilivyo kwa ugomjwa wa ukimwi.Watu wanaokuwa na taarifa hizo kwa uchache sana ni hospitalini na kwa waganga wa kienyeji.Hawa wanaotumia bange au madawa ya kulevya na wanaona hawaathiriki wanajidanganya.Leo au baada ya miaka kadhaa lszima yatawakuta tu.Kwa hiyo bange si halali.
 


Upuuzi mtupu. Ushawahi kuona mvuta bangi ana akili timamu? Kila mvuta bangi anajifanya ni peace maker kwa kuwa mellow all the times mpaka wanasahau kuoga huku wakinuka harufu ya mavi na ukurutu mwilini. Mkuu usiombe tuwe na hii sheria kwani watu watakuwa wanalala barabarani na tutashindwa kuendesha magari yetu, si unaona kuna wengine wanalala juu ya makaburi? Ile ni laana na ni bangi ndizo zinazowafanya kuwa vile.
 


Mkuu unafananisha Bangi na Unga.
 
Ikisha halalalishwa msikatae ndoa za jinsia moja, wala msiogope kuzaa na mama, dada, mabinti zenu, maana Vuta bangi hana mipaka!
 
Bangi mbona ni halali katika nchi yetu? Nishakamatwa mara kadhaa na mahakamani nikashtakiwa kwa sheria ya ku smoke hadharani, sheria inakataza kuvuta hadharani ila mafichoni ni halali. Ukikamatwa kwenye viwanja vya mpira ni kosa ila ukivutia gheto ni sawa. Huu ni mwaka wa 3 sijakamatwa tena na kuna siku jamaa walipita nje wakasikia harufu ila wakapita coz sijavutia hadharani.
 
ikisha halalalishwa musikatae ndoa za jinsia moja,wala msiogope kuzaa na mama, dada,mabinti zenu , maana Vuta bangi hana mipaka!

Sijawahi kuskia shoga mvuta bangi!!!...mashoga wengi ni walevi
 
Kuna watu wengi sana wenye heshima zao wanakula jani, na wakivuta wanakuwa watulivu na very concentrated tofauti na mnywaji pombe, akinywa anakuwa na maneno mengi pointless na mapepo ya uzinzi ndiyo yanawakamata!
 
Kuna mdau mmoja humu ndani kasema bangi inaweza kutengenezewa keki, ningependa kupata hiyo receipt ya cake za weed!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…