donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Hivi bange ni lazima ivutwe tu ama yaweza kuliwa kama mboga? Nauliza tu maana nimeanza kushawishika ila kuvuta kunaweza kuwa kikwazo
Hata hivi ulivyoandika ni sababu ya bange!
Loh!taifa linaangamia bangi mbaya sana acha kijana
I do not suggest a thing on weed... I did it sometimes before, back in the days and until now I still cherish it coz I find it 2 be just cool though there some people huwa wanna go kinda crazy but 2 me its all because they didn't know how to use it and keep up with it.
Bangi inazeesha though its cool.. and kwa ambao bado mpo kwenye dope shit, jus maintain the laws coz bangi is not for someone to break laws
ni mtazamo
uvutaji wa bangi si jambo geni
vijana wengi wanavuta au wameshawahi kuvuta
ukiachia mbali madhara ambayo watu wa afya wanasema yanaletwa na bangi (mengi si kweli)
kma ulishawah kuvuta utakubaliana na mimi
bangi haina addiction wala haijengi dependency
ukiikosa hupati alosto
bangi ina leta mood au inaongeza mood
huku kijijini kwetu wakulima wanapuliza bangi then wanaingia mzigoni
same way tulivokuwa tunatumia high school tunapata mood ya kupiga misuli
haya madhara kma kupoteza kumbukumbu ni uongo mtupu na sijui hizo research walimfanyia nani?
Kwanza bangi inaongeza appetite mim ningekuwa docta watu wanaosuffer na anorexia ninge kuwa na prescribe bangi
afu bangi navoelewa risk ya kupata sijui cancer yakoo au mapafu ni ndogo kuliko hizo tumbaku ambazo ni legal kabisa
bangi ina fanya muscles zina relax
hakuna sijui ku athiri nguvu za kiume kama tumbaku
kwahyo basi sioni sabab ya bangi kuwa illegal cha msingi serikali izuie madawa ya kulevya na bangi watu wavute hadharani kma sigara ili kutoweza kuwapa mwanya wale wanao changanya na heroin huko vichochoroni
I agree 101%, bangi sio mbaya kama jamii inavyoambiwa na babylon, it enhances everything, people shud learn be curious sio kila unaloambiwa unakubaliana nalo without kuchunguza, i know a lot abt this plant now, and i feel proud smoking pot, pombe spirits tumbaku zilohalalishwa na babylon ndizo zinaua walimwengu mujiepushe nazo ohoo,
#legalize herb
JF imeingiliwa na wavuta bange jamani
unaweza kuweka kwenye chakula chochote cake au vingine vyenye sukari kuongeza flavour but utachelewa kuwa high kma anae vuta coz anaevuta inaingia kwnye mapafu dirictely na ina kuwa absorbed na mishipa ya damu fast
Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilivuta Bangi Mjusi nilimuona Mamba lakini baada ya kuizoea ikawa ni kawaida na faida zilikuwa nyingi kuliko hasara nimevuta bangi miaka 13 na nimeacha sasa hivi. Sababu ya kuacha nimeona umri umesonga na jingine kupuuzia kila kitu yaani unaTake easy.
Haka ka thread ni ka wavuta bange. Nimekosea njia.
Unatumia nguvu nyingi kuitafutia uhalali!
Au una shamba umeilima sasa unatafuta soko?