Nasikiaga tu bangi, bange na bhangi sasa sujui nani yuko sahihi na wote hawa ni washahili wenzako. Haina jina kwa lugha yangu maana haipo kwetu.
Ngoja tumtafute aliyesikika akiitetea bungenia atupe jina sahihi.
Kwa taarifa tu, aliyeanza kuvuta bangi ni mchunga mbuzi. Aliwaona mbuzi wanatembea kula majani ya aina zote, lakini wakifishakula majani ya bangi wanasizi na kuwa wapole sana. I kabidi afanye utafiti kujua, kulikoni? And the rest was history.