Bange kweli ni mbaya aisee...!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,166
Reaction score
2,670
Leo wakati natoka job narudi hm, njian nilikutana na kijana kama vile katoka kuvuta ile kitu(bange), aliponiona tu akasimama na kuanza kucheka sana baadaye akanyooshea kidole uelekeo wa mdomoni kwangu akaniambia "Broo domo lako kuuuubwa kuliko kichwa!!" akacheka zaidi,nilishangaa nilidhan kichaa fulani hivi...punde si punde akaanza kujishtukia "hee mbona napaa hivi nyie ni watoto au..?" akiwa na amaana tuliosimama karibu naye ni watoto maana alituona kama wafupi vile...tukamkimbia fasta
 
Legalize and the messenger will advertise it
 
yaani we acha ndg yangu, mi kaka yangu alivuta akavuta kisha akajichoma kisu cha tumbo, ilikuwa balaa, ameponea chupchup bugando. Bangi ni kitu kibaya sana!. Ila kwa sasa ameacha hata ile sigara ya kawaida.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…