Bange! Bange!

Mipesa

Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
32
Reaction score
3
Jaman bange ni noma. Kulikuwa na jamaa anapuliza kitu la Arusha, baada ya stimu kuanza akaanza ku .......... (SOME TEXT MISSING)
 
Na sio unavuta bhange wakati umetoka kula ugali wa mboga nyanya! Utakufa!wenzio bhange keeps us sane,lol
 
bangi nibangue,nipate gari nitanue,mtaani wasijue na mademu nibandue.Nalog off
 
Mimi ni mgumu,naishi kwenye room,hata ukinipa sumu,nitaendelea kudumu,bado nipo humu na wala situmii ndumu!
 
Toka nianzie kula msuba sijaumwa na homa wala sijapata mafua-lod Eyez
 
Yangu macho! Endeleeni na malumbano cha msingi msishikane mashati!
 
Bange ilimfanya jamaa yangu akaruka kutoka juu ya mti akifikiri ataweza kruka kama ndege...alikuwa anajisikia mwepesi kama carbon paper.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…