Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,971
- 168,925
Mh nahisi kama nimetukanwa hapa
ha ha ha mi sijatukana bana....
Mh nahisi kama nimetukanwa hapa
Note: NImeandika saivi asubuhi coz ndio nimetoka kuachana naye....
Sasa dirisha la usajili linafungwa j2....mtapata wapi straika?
ina maana wanafunga dirisha la kusajili member mjengoni hapa au unamaanisha nini mkuu? nieleweshe
Una bahati sana wewe
So, umeandika hii kitu asubuhi baada ya kumgegeda huyo changu usiku mzima?. Hope ulitumia zana. Uwe unaoga kabla ya kurukia kitandani baada ya kupombeka
ina maana wanafunga dirisha la kusajili member mjengoni hapa au unamaanisha nini mkuu? nieleweshe
ina maana wanafunga dirisha la kusajili member mjengoni hapa au unamaanisha nini mkuu? nieleweshe
Sjakuelewa labda ungeunganisha hizo herufi za mwisho