Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,840
Hivi Ozil anacheza number ngapi vileeee????
Mkuu kwa borussia dortmund na Galatsaray tutatoka kweli??
Mh kurudisha jezi itakuwa labda siku yangu imefika ila sio sababu ya pombeNawaza pombe imekaa kichwani, naona speed ya dunia kuzunguka imeongezeka from 1°c to 10°c, ni maruweruwe mwanzo mwisho huko bafuni si unaweza kuanguka ukarudisha jezi kwa muumba???
Le profeseli wenger amebadilika sana unakumbuka ozil alikuja dk ya ngapi kabla dirisha kufungwa? usiogope
hizo mambo za kuoga ni changa la macho asee ni kujivisha bomu tu muhimu control unywajiMh kurudisha jezi itakuwa labda siku yangu imefika ila sio sababu ya pombe
Hivi Ozil anacheza number ngapi vileeee????
haya hongera, siku nyingine utawahiwa kabla hata hujaoga unashangaa unatembea unateleza tu....But kila mtu ana jinsi yake ya kusolve problems, mm mbona kuoga kulinisaidia