UNGEBAHATIKA kumuona mwanaume mmoja, mkazi wa Sharif Shamba, Ilala jijini Dar, Beda Mloka Baba Tony alivyokuwa ametapakaa damu chapachapa, lazima uulize kulikoni ambapo jibu ni moja tu la kushangaza, kisa cha yote hayo ni fumanizi, Risasi Mchanganyiko lina kisa cha kusikitisha.
ZAIDI BOFYA HAPA: DAMU CHAPACHAPA... KISA FUMANIZI - Global Publishers
I beg to differ.. Ablessed Kummegea mwenzako sio unyama? Tena jirani?? Bora kama angekuwa hamfahamu lkn unanichekea huku unafunua na kula vyangu? Nisingeishia kuchoma makalio na bisi bisi ningefeka kabisa hizo kengele.
teh teh teh na wao wajiheshimu bwana ahaaaa we utachaje watoto wako na familia yako kitanda kizuri unaenda vicchochoroni hajabakwa huyo???tena utakuta huyo mke alimtongoza mwenyewe
pengine baba tony hata hajui kama ameolewa huyo mwanamke mjaaluta siyejua vibaya sura imemparama kama ngozi ya p...mbu
wanzinzi bana