Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 10,664 Reaction score 22,845 Mar 4, 2025 #81 Intelligent businessman said: tafuta ttcl uki pata ni 70k per month ila nayo iko poa, ninayo kijiweni. Click to expand... 70K hiyo ni pamoja na dakika au data pekee yake?
Intelligent businessman said: tafuta ttcl uki pata ni 70k per month ila nayo iko poa, ninayo kijiweni. Click to expand... 70K hiyo ni pamoja na dakika au data pekee yake?
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,692 Reaction score 2,581 Mar 4, 2025 #82 Install app ya GlassWire Android itakuambia nini kinakula data, pia inapatikana ka ajili ya Windows. GlassWire Windows
Install app ya GlassWire Android itakuambia nini kinakula data, pia inapatikana ka ajili ya Windows. GlassWire Windows
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,104 Reaction score 47,085 Mar 4, 2025 #83 Zemanda said: Speed yao ni nzuri lakini au miyeyusho? Click to expand... TTCL UKIIWEKA KWENYE OFISI YAKO KWA KIFURISHI CHA 55, 000/- KWA MATUMIZI YETU YA 4M/S inatosha kabisaaaa
Zemanda said: Speed yao ni nzuri lakini au miyeyusho? Click to expand... TTCL UKIIWEKA KWENYE OFISI YAKO KWA KIFURISHI CHA 55, 000/- KWA MATUMIZI YETU YA 4M/S inatosha kabisaaaa
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,204 Reaction score 10,851 Mar 4, 2025 #84 Anastasia21 said: Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh ๐๐พ adi kero Click to expand... Nunua WiFi
Anastasia21 said: Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh ๐๐พ adi kero Click to expand... Nunua WiFi
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,204 Reaction score 10,851 Mar 4, 2025 #85 Vincenzo Jr said: Tumia unlimited mkuu Click to expand... We jamaa si unatumia rooter wewe??
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,381 Reaction score 80,256 Mar 4, 2025 #86 Cassnzoba said: We jamaa si unatumia rooter wewe?? Click to expand... Ndio ya Airtel na ni unlimited
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,204 Reaction score 10,851 Mar 4, 2025 #87 Intelligent businessman said: tafuta ttcl uki pata ni 70k per month ila nayo iko poa, ninayo kijiweni. Click to expand... Wewe kila router unayo huko nanjilinji
Intelligent businessman said: tafuta ttcl uki pata ni 70k per month ila nayo iko poa, ninayo kijiweni. Click to expand... Wewe kila router unayo huko nanjilinji
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,204 Reaction score 10,851 Mar 4, 2025 #88 Vincenzo Jr said: Ndio ya Airtel na ni unlimited Click to expand... Ya shingapi
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,204 Reaction score 10,851 Mar 4, 2025 #89 Vincenzo Jr said: Ndio ya Airtel na ni unlimited Click to expand... Vincenzo Jr said: Ndio ya Airtel na ni unlimited Click to expand... Nakuja pm. Mkuu unishauri KITU
Vincenzo Jr said: Ndio ya Airtel na ni unlimited Click to expand... Vincenzo Jr said: Ndio ya Airtel na ni unlimited Click to expand... Nakuja pm. Mkuu unishauri KITU
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,381 Reaction score 80,256 Mar 4, 2025 #90 Cassnzoba said: Ya shingapi Click to expand... Wanatoa bure mara ya kwanza lazima ulipie laki Moja na 10 miezi inayofuata utalipia elfu sabini mkuu
Cassnzoba said: Ya shingapi Click to expand... Wanatoa bure mara ya kwanza lazima ulipie laki Moja na 10 miezi inayofuata utalipia elfu sabini mkuu
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,381 Reaction score 80,256 Mar 4, 2025 #91 Cassnzoba said: Nakuja pm. Mkuu unishauri KITU Click to expand... Njoo bosi
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,308 Mar 4, 2025 #92 Down To Earth said: Gb 5 kwa mwezi kwa elfu 10 tu airtel SME Sponsored by geosir View attachment 3258021 Click to expand... Dkk zote hizo? Nimewaza wee ni muongeaji sana. Lol
Down To Earth said: Gb 5 kwa mwezi kwa elfu 10 tu airtel SME Sponsored by geosir View attachment 3258021 Click to expand... Dkk zote hizo? Nimewaza wee ni muongeaji sana. Lol
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,511 Reaction score 97,021 Mar 4, 2025 #93 Cassnzoba said: Wewe kila router unayo huko nanjilinji Click to expand... Ninazo mbili voda na ttcl mkuu, kwani ni kinyume cha sheria za jf?
Cassnzoba said: Wewe kila router unayo huko nanjilinji Click to expand... Ninazo mbili voda na ttcl mkuu, kwani ni kinyume cha sheria za jf?
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,204 Reaction score 10,851 Mar 4, 2025 #94 Intelligent businessman said: Ninazo mbili voda na ttcl mkuu, kwani ni kinyume cha sheria za jf? Click to expand... Nikajua huko nanjilinji ni porini mnooooooooooooooo
Intelligent businessman said: Ninazo mbili voda na ttcl mkuu, kwani ni kinyume cha sheria za jf? Click to expand... Nikajua huko nanjilinji ni porini mnooooooooooooooo
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,511 Reaction score 97,021 Mar 4, 2025 #95 Cassnzoba said: Nikajua huko nanjilinji ni porini mnooooooooooooooo Click to expand... karibu Sana mkuu, mimi sio Kama nusu albino Half american
Cassnzoba said: Nikajua huko nanjilinji ni porini mnooooooooooooooo Click to expand... karibu Sana mkuu, mimi sio Kama nusu albino Half american
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,122 Reaction score 111,819 Mar 4, 2025 #96 Intelligent businessman said: karibu Sana mkuu, mimi sio Kama nusu albino Half american Click to expand... Mimi wapi kenge wew
Intelligent businessman said: karibu Sana mkuu, mimi sio Kama nusu albino Half american Click to expand... Mimi wapi kenge wew
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,204 Reaction score 10,851 Mar 4, 2025 #97 Intelligent businessman said: karibu Sana mkuu, mimi sio Kama nusu albino Half american Click to expand... Usije ukanizimia simu nikabaki nashangaa shangaa kwenye mapori huko mwishowe niwe attacked na mbwehaaa
Intelligent businessman said: karibu Sana mkuu, mimi sio Kama nusu albino Half american Click to expand... Usije ukanizimia simu nikabaki nashangaa shangaa kwenye mapori huko mwishowe niwe attacked na mbwehaaa
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,511 Reaction score 97,021 Mar 4, 2025 #98 Cassnzoba said: Usije ukanizimia simu nikabaki nashangaa shangaa kwenye mapori huko mwishowe niwe attacked na mbwehaaa Click to expand... usijali Nita kupokea, ili usije bakwa na nyani
Cassnzoba said: Usije ukanizimia simu nikabaki nashangaa shangaa kwenye mapori huko mwishowe niwe attacked na mbwehaaa Click to expand... usijali Nita kupokea, ili usije bakwa na nyani
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 44,511 Reaction score 97,021 Mar 4, 2025 #99 Half american said: Mimi wapi kenge wew Click to expand... rasiiii
Chance ndoto JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 4,620 Reaction score 10,798 Mar 4, 2025 #100 4 days 12.06 gb na mwezi bado haujaisha oya voda wananiamsha balaa. Daaaaah๐๐๐