sabas matata
Member
- Apr 3, 2012
- 34
- 6
Mtwara,bandari yenu anapewa mzungu mnasemaje!
Hili si kweli kabisa. Bali ni sehemu tu ya bandari yaani gati moja ndio wamepewa wazungu kwa ajili ya upanuzi na kuweka vyombo vyenye uwezo wa kushushia mizigo yake mizito.
Hawa ni wale wa Dangota na gas. Mimi ni mmoja wa watu tunaowekeza kule mtwara na washirika wangu wapo kule kwa tathimini zaidi.
Mtwara,bandari yenu anapewa mzungu mnasemaje!
Jamani ni wafaransa ndio waliopewa hiyo bandari kufidia deni la matengenezo ya ndege mbovu
.Sio mzungu kaka, ni mwarabu.