Poleni wana JF na majukumu yenu ya kila siku,Nimesikia tetesi kuwa majina yametoka na kubandikwa kwa wale tuliopeleka maombi ya kazi mwezi mmoja na nusu uliokwisha..Kwa yeyote anayelifahamu tafadhali nijibu!

True yametoka ila ni katika nafasi za clerk c, medical attendant, sailor, crane operator na nafasi nyingine moja nimeisahau. Ila clerk C yako majina 701. Kazi kwenu wadau...
Acheni uwongo majina yanabandikwa utumishi ya bandari,panda magari ya temeke/posta k/koo, au tandika/postak/koo au mbagala/posta/k/koo yanayopita kilwa road,shuka bandari then utaona majengo ya utumish,geti namba 3 mimi nipo hakuna majina.