chawa wa mama
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 292
- 1,086
- Thread starter
-
- #61
Kusifu kila Jambo bila kutafakari na kufanya uchambuzi Ni kichaa, na hata unayemsifu atakudharau, kwa hili hapana, Ila mengine sawaNiliposoma jina la mleta thread nikaona chawa wa mama nikajisemea huu uzi wa nderemo na vifijo( praise and worship) Kumbe upo upande wa wazalendo wapigania nchi.
Ila hapo kipengere namba 6 andika raia wa Tanganyika badala ya watanzania.
Asante studio.
Hata Humphrey Polepole naye kashauri.Nimemskiliza Fr. Charles Kitima, nimemsikiliza Dr. Wilbroad Slaa, nimemsikiliza Adv. Boniface Mwambukusi, nimemsikiliza Mange Kimambi, nimemsikiliza Rostam Aziz, nimemsikiliza Tundu Lissu, nimemsikiliza Freeman Mbowe.
Nimelisikiza Bunge, nimemsikiliza RC Albert Chalamila, nimemsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan, nimeskiliza Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali, na nimemsikiliza Salim Asas; to mention a few.
Baada ya kuwasikiliza, nimetafiti, nimelinganisha, nimetofautisha kauli zao, fikra zao, hoja zao, na matendo yao, nikapata majawabu haya:
1. Mkataba wa Bandari haujitetei wenyewe, ni mkataba wa kifisadi unaohitaji nyongeza ya maneno ili uwe halali na ukubalike kwa Watanzania. Watanzania wameukataa.
2. Nchi kwa sasa haina uongozi madhubuti; nchi inajiongoza yenyewe.
3. Kuna kikundi cha wahuni wachache wanapora rasilimali za nchi na wanaziweka kwenye mikono ya wageni kwa jina la uwekezaji.
4. Katiba ya nchi na sheria za nchi zimeanajisika. Utawala bora na utawala wa sheria umetoweshwa kwa ulafi wa maslahi ya watu binafsi.
5. Taifa linahitaji hatua za haraka na dharura kuikwamua nchi na machafuko yanayoweza kutokea muda wowote kuanzia sasa. Umaskini umekithiri, achilia mbali pengo kubwa la walionacho na wasio nacho linavyoongezeka kwa kasi.
6. Wakati umefika raia wote wa Tanzania kuamka kudai haki ya nchi yao. Kurejesha mamlaka, madaraka, na nguvu mkononi mwao kutoka kwa viongozi walioko madarakani.
7. Naunga Mkono Mawakili wazalendo Adv. Emmanuel Chengula, Adv. Boniface Mwambukusi, Adv. Livino Ngalimtumba, na Adv. Alfonce Lusako wanaokusudia kufungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam "Under Extreme Certificate of Urgency" ili Mahakama ikatupe tafsiri ya huu mkataba unaweka rehani usalama wa nchi. Bunge la JMT limewasaliti wananchi badala ya kuisimamia serikali. Iingie mikataba mizuri, Bunge limegeuka kuwa "Genge la serikali" la kupingana na wananchi.
we nawe kuna mda hueleweki upo upande gani mara umlambe mama mara ulambe wapinzanzani.Au unataka tu kuwa na threads nyingi Jf kwa kuchanganya watuNimemskiliza Fr. Charles Kitima, nimemsikiliza Dr. Wilbroad Slaa, nimemsikiliza Adv. Boniface Mwambukusi, nimemsikiliza Mange Kimambi, nimemsikiliza Rostam Aziz, nimemsikiliza Tundu Lissu, nimemsikiliza Freeman Mbowe.
Nimelisikiza Bunge, nimemsikiliza RC Albert Chalamila, nimemsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan, nimeskiliza Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali, na nimemsikiliza Salim Asas; to mention a few.
Baada ya kuwasikiliza, nimetafiti, nimelinganisha, nimetofautisha kauli zao, fikra zao, hoja zao, na matendo yao, nikapata majawabu haya:
1. Mkataba wa Bandari haujitetei wenyewe, ni mkataba wa kifisadi unaohitaji nyongeza ya maneno ili uwe halali na ukubalike kwa Watanzania. Watanzania wameukataa.
2. Nchi kwa sasa haina uongozi madhubuti; nchi inajiongoza yenyewe.
3. Kuna kikundi cha wahuni wachache wanapora rasilimali za nchi na wanaziweka kwenye mikono ya wageni kwa jina la uwekezaji.
4. Katiba ya nchi na sheria za nchi zimeanajisika. Utawala bora na utawala wa sheria umetoweshwa kwa ulafi wa maslahi ya watu binafsi.
5. Taifa linahitaji hatua za haraka na dharura kuikwamua nchi na machafuko yanayoweza kutokea muda wowote kuanzia sasa. Umaskini umekithiri, achilia mbali pengo kubwa la walionacho na wasio nacho linavyoongezeka kwa kasi.
6. Wakati umefika raia wote wa Tanzania kuamka kudai haki ya nchi yao. Kurejesha mamlaka, madaraka, na nguvu mkononi mwao kutoka kwa viongozi walioko madarakani.
7. Naunga Mkono Mawakili wazalendo Adv. Emmanuel Chengula, Adv. Boniface Mwambukusi, Adv. Livino Ngalimtumba, na Adv. Alfonce Lusako wanaokusudia kufungua kesi Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam "Under Extreme Certificate of Urgency" ili Mahakama ikatupe tafsiri ya huu mkataba unaweka rehani usalama wa nchi. Bunge la JMT limewasaliti wananchi badala ya kuisimamia serikali. Iingie mikataba mizuri, Bunge limegeuka kuwa "Genge la serikali" la kupingana na wananchi.
Nchi yetu ya Tanganyika lazima ipewe heshima inayistahili!Niliposoma jina la mleta thread nikaona chawa wa mama nikajisemea huu uzi wa nderemo na vifijo( praise and worship) Kumbe upo upande wa wazalendo wapigania nchi.
Ila hapo kipengere namba 6 andika raia wa Tanganyika badala ya watanzania.
Asante studio.
Msikilize Balozi Humphrey PolepoleUle mkataba ukiisoma wote na ukawasikiliza wanaoutetea, ni lazima uwe mwendawazimu asiye na aibu, kuweza kuukubali.
Ingekuwa ni nchi za watu makini na wasioruhusu mambo ya hovyo hovyo, sahizi kundi kubwa la wale wabunge bandia pamoja na spika wao wangekuwa wamejiuzulu kwa kulazimishwa, kuna watu ama wangekuwa kizimbani au wangekuwa chini ya vyombo vya uchunguzi, Serikali nzima ingekuwa ipo uelekeo wa kuondolewa.
Baada ya kuusaini mkataba wa hovyo namna ile, hakuna mtu angekuwa na imani na Serikali ya namna hiyo.
Lakini, wanasema hata mbuyu ulianza kama mchicha. Wananchi waliofanywa hawana akili, mambo ya hovyo kama haya, taratibu, yatawaamsha.
Ndiyo maana tunahitaji katiba mpya.Nchi ilitakiwa iwe na uongozi wa mpito baada ya msiba kisha ufanyike uchaguzi mkuu