GE2025 Bananga: Fedha Zilizochangishwa na CCM ni za Kampeni na ujenzi wa makao makuu ya kisasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Akizungumza na Kituo cha Clouds Redio, Ally Bananga ambaye ni Katibu wa Siasa na Uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam ameeleza kuwa Bilioni 89 zilizochangishwa na CCM ni kwa ajili ya uchaguzi na ujenzi wa Makao makuu ya CCM - Dodoma.
 
MWANASIASA AKIKUAMBIA GIZA LIMEINGIA TOKA NJE UHAKIKISHE MWENYEWE
 
Akizungumza na Kituo cha Clouds Redio, Ally Bananga ambaye ni Katibu wa Siasa na Uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam ameeleza kuwa Bilioni 89 zilizochangishwa na CCM ni kwa ajili ya uchaguzi na ujenzi wa Makao makuu ya CCM - Dodoma.
Mjinga sana hiyo hapa walidanganya
images (1).jpeg
 
Shida watangazaji wetu ni mabomba ya kupitisha habari Yani Kila mtu alimsikia na kumuona nchimbi akisema pesa ni za kampeni sa huyo bananga na nchimbi ni nani LAST SAY
 
Ndo uchukue hadi kwa
Akizungumza na Kituo cha Clouds Redio, Ally Bananga ambaye ni Katibu wa Siasa na Uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam ameeleza kuwa Bilioni 89 zilizochangishwa na CCM ni kwa ajili ya uchaguzi na ujenzi wa Makao makuu ya CCM - Dodoma.
Singasinga aliyeitwa MUHUJUMU UCHUMI juzi hapa hadi akatoa za plea bargaining??
 
Ndio mchukue Hadi za tofali la ubingwa la Yanga😡. Bring back our money shubamit.
 
Back
Top Bottom