Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,978
- 36,083
- Thread starter
- #21
sasa si uchakachuajiSawa ila jaribu kutumia ubongo wako vyema kutafakari mambo mana unaonekana kama mtoto wa miaka 10 hivi,hicho chuo unachokidharau unajua kimekua cha ngapi?au umelishwa tu upuuzi?
We vuta picha chuo kama Open eti nacho kipo kumi bora katika vyuo bora
Wakati huo huo chuo kama Bugando au KCMC havipo
Sasa kama si maajabu hayo ni nini?