Ban ya Baba V kuna nini?

amalize wapi ndugu yangu yani kaka yangu yule aishi kuwekwa rokapu
tokana na maneno yake ya kujiamini amini hapa mjengoni
Dooh!!! Baba V hivi alishawahi maliza miezi 3 bila ban?


Smiling saint.... am back
 
Daddy nlitaka kumtoa mtu koromeo

Nani huyo..!? Sie kwenye family yetu hatunaga kulea longolongo,akizingua mtu na wewe unamzingua squarely, ndo maana mie na servan kama masai na kirungu,..
 
Daddy nlitaka kumtoa mtu koromeo

Nani huyo..!? Sie kwenye family yetu hatunaga kulea longolongo,akizingua mtu na wewe unamzingua squarely, ndo maana mie na servan kama masai na kirungu,.Sipendi dharau ati....!
 
Na mie nilimtaja mtu fulan wa Ccm tayar nikatupwa selo,nimeamin humu kuna upendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…