Mkuu Baba V hongera umerudi kumbe?
Salaam hizi ziwafikie ; Mamndenyi, Chrisi lukosi et al Arushaone, Lady doctor, Washawasha mwallu, mwana mpotevu Smile, sungura1980 utafiti Kaizer kabanga na shansarie
Walau nimekuona maana nilikumiss sana
namkaribisha sana japokuwa huyu jela ni kama kwake keshazoea vifungo hahaha!
Mkuu Baba V hongera umerudi kumbe?
Salaam hizi ziwafikie ; Mamndenyi, Chrisi lukosi et al Arushaone, Lady doctor, Washawasha mwallu, mwana mpotevu Smile, sungura1980 utafiti Kaizer kabanga na shansarie
daaaaahh!!
We mke mwenza,nilivokumis acha2
Ahsante sana mkuu... Hope kila kitu kinaenda sawa pande hizi..
Dady is back... don't worry..
nimekumiss pia mke mwenza jamani, nakuja mitaa ya kwenu kama kawa niandalie yale mambo yetu yaleee
Shaka ondoa mimi nawe tenaa!
Alizamia kwenye party huyo