Ban Ki Moon kuwa raisi wa Korea Kusini

Ban Ki Moon kuwa raisi wa Korea Kusini

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,814
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa anayemaliza mda wake Mh Ban Ki Moon ameonesha interest ya kugombea Urais wa nchi yake mara baada ya kumaliza nafasi yake ya sasa.
Ikumbukwe kuwa Korea ya Kusini iko kwenye mgogoro baada ya bunge la nchi hiyo kuidhinisha zoezi la kumuondoa madarakani raisi aliyekuwepo kwa kutumia njia za kidemokrasia...
 
Katibu

hapo kwa ban ki moon fresh sana nadhan chama tawala kimeamua kimuweke mtu mwenye heshima sana kwe nafasi hio lakin mkuu sidhan san km s korea ipo kwe mgogoro maana impeachment imeenda smooth sana na hata rais na chama chake hawajalalamika kuwa ameonewa tofaut na ile issue ya brazil,
 
alishawahi kuwa waziri mkuu wa hiyo nchi kama sikosei, hivyo anaweza kushinda na ataisaidia sana korea kusini.
 
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa anayemaliza mda wake Mh Ban Ki Moon ameonesha interest ya kugombea Urais wa nchi yake mara baada ya kumaliza nafasi yake ya sasa.
Ikumbukwe kuwa Korea ya Kusini iko kwenye mgogoro baada ya bunge la nchi hiyo kuidhinisha zoezi la kumuondoa madarakani raisi aliyekuwepo kwa kutumia njia za kidemokrasia...
Umekirupuka, title yako ina utata!!
 
hapo kwa ban ki moon fresh sana nadhan chama tawala kimeamua kimuweke mtu mwenye heshima sana kwe nafasi hio lakin mkuu sidhan san km s korea ipo kwe mgogoro maana impeachment imeenda smooth sana na hata rais na chama chake hawajalalamika kuwa ameonewa tofaut na ile issue ya brazil,
Puppet wa usa.
 
Huyo ana kwenda kuongeza uadui mara dufu kati yao na wenzao korea kaskazini.
Marekani si watu wazuri hata kidogo.
 
huyo mzee naona yuko vizuri ila mm sijaona kitu cha maana sana alicho fanya alipo kuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa.

na sidhani kama urais atauchukua kirahisi kama watu wengi wanavyo fikiri.
kwasababu akifika kule lazima atapata wapinzani wa ukweli na mapungufu yake yote yatawekwa hadhalani.
 
Back
Top Bottom