Bamboo forest

Duh pazuri sana aise. Yaani naamini nanpana utulivu wa kutosha
 
Nzuri kabisa kaka ila mimi sio sikukuu yangu....

Hahahaha ila tatizo hakuna siku ya wanafunzi wala siku ya wafanyabiashara. Wafanyakazi na wakulima ndo wanajulikana bana sie wengine tusio kwenye ajira tumetupwa mbali
 
Ndo hapo mkuu, hii dunia haijui kama wengine si wafanyakazi? Mbona kuna watu hawajapangiwa sikukuu?
 
Tuunge maandamano mkuu kudai haki yetu. Pia kuwe na siku ya wanaume mbona kuna siku ya wanawake na sisi wanaume tukae tujadili mambo yetu namna ya kudumisha mfumo dume
Asiione binti yako miss chagga
 
Last edited by a moderator:

Kababy hajaamka bado
 
Last edited by a moderator:
Hajaenda mei mosi na yeye au yeye sio mfanyakazi
Umenionea wapi Tized
 
Last edited by a moderator:
Hapo ukikaa dakika tano utakuwa chakali kama ile juisi yake inapatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…