Mwana Taaluma
JF-Expert Member
- Oct 21, 2019
- 857
- 2,054
Alafu nasikia wadanganyika mnamiliki mjengo wa ghorofa yine hapo njini maputoUle ubalozi wa msumbiji utatia aibu tena upo city centre duh,
Alafu nasikia wadanganyika mnamiliki mjengo wa ghorofa yine hapo njini maputoUle ubalozi wa msumbiji utatia aibu tena upo city centre duh,
Sio haba ndugu.Bado wa DRC
Nadhani ameufananisha!mkuu egypt umefika lini kwenye ubarozi wao???
Umenikumbusha kitu....Sijui kama ule wa Tanzania pale Washington walikwishaukarabati. Haukuwa kwenye hali nzuri wakati nilipokuwa pale.
wazarendo waliokuwa wamebakiUmenikumbusha kitu....
Kulikuwepo na balozi wa Tanzania hko Japan
Smbdy R. Lukindo(R. I. P) Kuna wakati alitumia fedha zake huko ili kuukarabati ubalozi wa tz huko......maana ulikuwa na Hali mbaya
Ova



mkuu egypt umefika lini kwenye ubarozi wao???
Balozi lukindo alikuwa mjivuni bwanaaawazarendo waliokuwa wamebaki![]()
Sisi wa huku matumbi tutajuaje sasa mkuuwanaruhusu kupiga picha balozi siku hizi?
Swali zuri sana. Nadhani ana miaka zaidi ya mitatu tangu apite Victoria pale.mkuu egypt umefika lini kwenye ubarozi wao???
Kuna siku niliona gari la balozi wa DRC aiseee acha kabisa.........sijui ni Bentley ile au Jaguar.......kama ofisi zao ni za ovyo nitashangaa sana!Bado wa DRC
Ukiona hivyo ujue hizo nchi hazidhamini sana uhusiano wao na Tanzania.....we unafikiri balozi zao kwenye nchi za wenzetu zimejichokea hivyo? Yaani huku wamefungua basi tu na wao waonekane wamo!1. Egypt,
2. Mozambique,
3. Zimbabwe,
4. Malawi,
5.Comoro,
Tumeikarabati majuzi sasa hivi inapendeza sana karibuni mkuu hata chaiAisee wa somalia ovyo ovyo
Hata analijua hilo?Usisahau kuweka uzi wa balozi za Tanzania huko nje zenye majengo chakavu!
Huko huku duhUbalozi wa Urusi na Ufaransa ukipita kwa nje pia kunaonekana kupo rafu
Ubalozi wa uingereza na umoja wa ulaya ndio classic sana