Balozi wetu Oman

calmdowndear

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
605
273
Huyu naye katokea wapi?Kuna mambo najaribu kuunganisha nashindwa ......mwenye profile yake ailete

b21.jpg
 
Kwenye uteuzi wa ubalozi ndipo nilipobaini Jk ni mdini! kenya tu ndiyo kamteua mrembo wetu!
 
bongo ni nchi yangu lakini mambo yanavyokwenda sasa hivi huwa inachanganya sana..nachoomba ni kujuzwa.. balozi ni yupi hapo??
 
waliovaa suti hapo ni wanne, yupi?

kweli huu mtihani ngija turudi chimbo inawezekana ikawa huyo binti ndiye balozi

lakini mbona rangi yake inafanana na ya SALIM AHMED SALIM?

Halafy huyo bibi kushoto kabisa ni nani? kwa nini hataki kupigwa picha?
 
b13.jpg




Ndugu Ali A. SALEH, ameteuliwa kuwa Balozi nchini OMAN. Kabla ya hapo Bwana Saleh alikuwa Balozi Mdogo (Consul General) nchini Dubai.
 
balozi ni wa pili kulia na mkewe wa kwanza kushoto na watoto wao katika picha ya pamoja na rais Ikulu
 
balozi ni wa pili kulia na mkewe wa kwanza kushoto na watoto wao katika picha ya pamoja na rais Ikulu

Huyu balozi ni AL nani? AL BUSHIRI, AL MUHRIBI, AL FARSI au?

hawa rangi rangi hupenda kujidai wai si wa Tanzania sasa huyu jamaa katokea wapi na kafikaje hatua hiyo?

itakuwa ndugu zake SALIM AHMED SALIM
 
Back
Top Bottom