Balozi wetu kageuka Rambo

xfactor

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,511
Reaction score
1,290
Huyu ndio balozi wetu mdogo huko China,hapo akiwa na bastola zake Tatu kama Rambo vile

 
Yule aliemwagiwa tindikali kipindi kile ndio yupi??
 
Ni kwamba anataka kuliteka hilo Lori linalokuja au?
 
Anawakilisha watanzania. Nadhani katiba mpya inaruhusu uchekibob ndo maana ubabe-ubabe tu. Tanzaniaeeee, nchi yangu eeee
 
Hivi serious ni balozi au utani?Alipitia vigezo gani na wanaoshauri waliamua kumkomoa mkuu au nini?

Business partner wa mkwereeee; sasa atapata diplomatic passport hivyo mambo ya PODA yatakuwa kwa kwenda mbele!!
 
Lakini mbona kama mzungu? Au ni chotara?
 
Duh ccm mpaka wahuni wanapewa ubalozi
 
Yes Hon. Balozi lazima diplomasia na ukakamavu
 
mkuu alafu hapo sio china cha kwanzaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…