Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 769
- 1,959
Democracy ni fimbo ya kuchapia utawala pale ambapo maslahi ya western yamebanwa lakini kama wana huakika wa kupata wanachokitaka, hata siku moja hawawezi kuzungumza negative kuhusu utawala, na wakiongea wanaongea just for show kuonesha dunia na wapinzani wa eneo hilo kuwa wanajali lakini ukweli hawana habari, wapo pale kuangalia kulinda maslahi yao tuu.May be the word democracy has lost its meaning.
Equinor ni kampuni y a Norway ni moja ya wawekezaji kwenye mradi wa gesi lindi( LINDI LNG project)