Balozi wa Norway nchini Tanzania, Elisabeth Jacobsen amesema Tanzania ni kielelezo amani Barani Afrika

May be the word democracy has lost its meaning.
Democracy ni fimbo ya kuchapia utawala pale ambapo maslahi ya western yamebanwa lakini kama wana huakika wa kupata wanachokitaka, hata siku moja hawawezi kuzungumza negative kuhusu utawala, na wakiongea wanaongea just for show kuonesha dunia na wapinzani wa eneo hilo kuwa wanajali lakini ukweli hawana habari, wapo pale kuangalia kulinda maslahi yao tuu.

Equinor ni kampuni y a Norway ni moja ya wawekezaji kwenye mradi wa gesi lindi( LINDI LNG project)
 
Ndugu zangu,

Tanzania inazidi kupaaa

========

Tanzania imetajwa kama Nchi ya kielelezo cha amani na demokrasia katika Bara la Afrika kutokana na mchakato wa kampeni za uchaguzi mkuu unavyofanyika kwa amani,utulivu na usawa kwa wagombea wa vyama vyote huku wananchi wakijitokeza kwa wingi kusikiliza sera za wagombea

Balozi wa Norway nchini Tanzania Balozi Elisabeth Jacobsen ameyasema hayo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi

333.JPG

Pamoja na masuala ya kisiasa Balozi huyo amesema katika mazungumzo yao wamegusia pia masuala ya ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi hususani katika suala la elimu,afya,nishati na uwekezaji pamoja na biashara baina ya nchi hizo mbili.

Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi amemuomba Balozi huyo wa Norway kuendelea kushirikiana na Tanzania na kumshukuru kwa Nchi hiyo kukubali kutoa kiasi cha dola za marekani milioni 7 kwa ajili ya mradi wa TASAF jambo litakalosaidia kupunguza umasikini kwa watanzania hususani katika kipindi hiki ambapo nchi nyingi zimeathiriwa na janga la Corona.

Mbali na Balozi huyo wa Norway pia Prof. Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden hapa nchini Balozi Anders Sjöberg ambapo amezungumzia masuala ya mabadiliko ya tabia nchi,haki za binadamu na uhuru wa vyombo vya habari na kuvipongeza vyombo vya habari hapa nchini kwa kuandika habari za wagombea wa vyama vyote bila ya ubaguzi.

111.JPG

Kuhusu suala la haki za binadamu Prof. Kabudi amesema taswira inayotolewa kuhusu suala hilo haiakisi hali halisi iliyopo nchini na kwamba Tanzania inaheshimu na kulinda misingi ya haki za binadamu.

Katika tukio jingine Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi amepokea nakala za hati za utambulisho za Balozi Mteule wa Uswis hapa Nchini Mhe. Didier Chassot.

Hapo sio beberu hahahaha 😂 😂
 
Kinara wa demokrasia! Labda kama hiyo demokrasia ina maana nyingine na ile ninayoifahamu.
Angalia mtu aliyeleta hiyo mada.

Huyo Wakudadavua, siyo mtu unayetarajia akuletee taarifa ya uhakika. Habari nzima ipuuzwe. Labda kama tutapata chanzo kingine cha habari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Balozi Za nje zilikuwa zikitegemea Sana taarifa Za upinzani lakini toka Tundu Lisu adanganye kuwa Tanzania Corona iko kibao ila serikali inaficha wakati hata yeye havai barakoa toka siku katua toka ubelgiji wakamuweka kundi LA waongo yeye na Chadema ndio maana unaona hata balozi hapo hajavaa barakoa wakati nchini kwao wanavaa wanaamini taarifa Za serikali sio za tapeli Lisu na chadema sasa they don't trust any information given to them by opposition
 
Kasema wapi acheni uongo mnamlazimisha
Kwani Unafikiri Hawana Mashushu wao wanaohudhuria mikutano kujua wagombea upinzani wako free? Hawaangalii youtube? Uongo WA chadema na Lisu kuwa Corona bado ipo huo uongo si wanauona nyomi za Lisu mwenyewe? Zilizojaa wasiovaa barakoa

Mzungu hatapeliwi kirahisi wamejua Lisu tapeli
 
Ndugu zangu,

Tanzania inazidi kupaaa

========

Tanzania imetajwa kama Nchi ya kielelezo cha amani na demokrasia katika Bara la Afrika kutokana na mchakato wa kampeni za uchaguzi mkuu unavyofanyika kwa amani,utulivu na usawa kwa wagombea wa vyama vyote huku wananchi wakijitokeza kwa wingi kusikiliza sera za wagombea

Balozi wa Norway nchini Tanzania Balozi Elisabeth Jacobsen ameyasema hayo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi

333.JPG

Pamoja na masuala ya kisiasa Balozi huyo amesema katika mazungumzo yao wamegusia pia masuala ya ushirikiano wa kidiplomasia na kiuchumi hususani katika suala la elimu,afya,nishati na uwekezaji pamoja na biashara baina ya nchi hizo mbili.

Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi amemuomba Balozi huyo wa Norway kuendelea kushirikiana na Tanzania na kumshukuru kwa Nchi hiyo kukubali kutoa kiasi cha dola za marekani milioni 7 kwa ajili ya mradi wa TASAF jambo litakalosaidia kupunguza umasikini kwa watanzania hususani katika kipindi hiki ambapo nchi nyingi zimeathiriwa na janga la Corona.

Mbali na Balozi huyo wa Norway pia Prof. Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden hapa nchini Balozi Anders Sjöberg ambapo amezungumzia masuala ya mabadiliko ya tabia nchi,haki za binadamu na uhuru wa vyombo vya habari na kuvipongeza vyombo vya habari hapa nchini kwa kuandika habari za wagombea wa vyama vyote bila ya ubaguzi.

111.JPG

Kuhusu suala la haki za binadamu Prof. Kabudi amesema taswira inayotolewa kuhusu suala hilo haiakisi hali halisi iliyopo nchini na kwamba Tanzania inaheshimu na kulinda misingi ya haki za binadamu.

Katika tukio jingine Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi amepokea nakala za hati za utambulisho za Balozi Mteule wa Uswis hapa Nchini Mhe. Didier Chassot.
Zitto ACT Wazalendo John Mnyika CHADEMA

kama bado hamjachukua hatua yoyote baada ya taarifa hizi za huyu balozi, nawashauri muiandikie wizara inayohusika na masuala ya kigeni nchini Norway kuiripoti hii misbehaviour ya huyu balozi wao.

ina maana haya hapa chini hajayaona wala kuyasikia? ametumia kigezo gani kuyasema aliyoyasema?

- wapinzani wanaenguliwa hovyo
- vyombo vya habari vya umma vikao biased
- mgombea urais wa CCM anakiuka wazi wazi kanuni na sheria za uchaguzi
- tume inaonyesha iko biased
- msajili wa vyama yupo biased
- nk
 
Balozi wa Norway nchini Tanzania
Elisabeth Jacobsen amesema Tanzania ni kielelezo amani barani Afrika kwa kuwa Kampeni za uchaguzi zinafanyika kwa uhuru,
amani na utulivu. Amesema kutokana na hayo Tanzania ni kinara wa demokrasia katika mchakato wa uchaguzi

Chanzo: Habari Leo
Huyo BEBERU atakuwa amenunuliwa na ccm
 
Wakiwasifia kinafiki sio mabeberu..Hayo mazungu huko kwao tumefika..hivi mambo ya kishenzi yanayofanyika hapa TZ wao wangevumilia..majinga sana hiki sio kizazi cha ukoloni
 
Back
Top Bottom