technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,511
- 51,101
Nimekuwa nikifuatilia matamko ya mabalozi wa Marekani na Ulaya kuhusu nchi za Africa mashariki hasa Tanzania na kugundua yafuatayo
Wamekuwa wakitoa taarifa kwa msukumo fulani bila ya kujiridhisha na nini wanakipigania huku nchi zao zikiwa na migogoro kibao,
Ninyi ni mashaidi mtakuwa mnajua nini kinaendelea hapa Marekani watu weusi wamekuwa wakibaguliwa na kuuawa kwa ukatili wa hali ya juu kuna taarifa kuwa kuna mtanzania mwanye asili ya marekani alivamiwa na kuuawa uko Tucson hivi Jana tu na njia kuu ya kuuawa ni ubaguzi kwani mtu huyu ameuawa na watu weupe!!
Hapo hapo polisi wengi wamekuwa wakiwaua watu wengi weusi wasio na hatia kwa kuwapiga risasi bila hata chembe za huruma !
Kiukweli ni aibu kubwa kwa taifa kubwa kama marekani lenye watu wastaarabu kuuawa watu kinyama kiasi hik.
Wakati huo rais wa Marekani akiwa mtu mweusi na kipenzi cha watu wengi hivi kweli kama watu wanauawa sasa hivi je !!
Itakuaje endapo mtu kama Trump ambaye inaonyesha dhahiri kuwachukia watu weusi atashinda uchakuzi hapo November ??
Ni aibu ya hali ya juu kukemea suala la Democrasia na haki za binadamu hapa hapa kwetu pasipo kuyamulika mataifa yanu huo ni unafiki wa hali ya juu!!
Nikweli Tanzania kuna matatizo ya kidemocrasia na haki za binadamu hasa Zanzibar ila kwa yanayoendela Marekani ni aibu ya hali ya juu!!
Mwezi uliopita nchini Kenya aliuwa mfanyabiashara maarufu nchini humo mabalozi walitoa matamko makali wakilaani kuuawa kwake
Na hivi majuzi tu aliuawa wakili maarufu, dereva wake na mteja wao balozi wa Marekani walikuja mbio kwenye media na kukemea mauji yale
Hivyo hivyo mnakumbuka mambo yaliyotokea south Africa ya wenyeji kuwaua wageni wanaishi huko balozi wa Marekani aliitisha press akiilaumu selikali ya South Africa kuwa imeshindwa kuwalinda waamiaji!!
Je huku kukaa kimya kwa mabalozi kuhusu kinachoendela Marekani demokrasia na haki za binadamu ni kwa Africa tu ??
Nimetoa hii kama angalizo tu sio kwamba nakukubaliana na yanayoendelea Tanzania na Africa kwa ujumla kuhusu demokrasia na haki za binadamu no lakini mabalozi wawe weledi kiasi sio kuzishambulia tu nchi za kiafrika bila kujimlika kwanza!!
Asanteee!!