Balozi wa China atoa msaada Chato.

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,135
48,821
Balozi wa China atoa msaada wa ujenzi wa shule ya msingi uko Chato.
7178a088183a94cd259654b3bf166a7c.jpg
 
Kwa sasa kuna idadi kubwa sana ya wachaga wameanza kuvamia Chato kwenda kuishi na kufanya biashara. Fursa zipo nje nje halafu wenyeji bado wamezubaa.
Ni awamu ya Chato hii.
 
Mkuu weka habari kamili sio wote tunafahamu hiyo ishu.
Samahani kama utakwazika.
 
Back
Top Bottom