Balozi wa Canada nchini

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
1,588
Reaction score
1,859
Aisee mmemuona Balozi wa Canada nchini Tanzania wakati wa kupokea ndege? yule dada ni shida, sura ipo, chura ndo balaa.

Sisi tuliozoea kula mademu wa Kizungu huyu anafaa,

Vipi nawezaje pata namba yake huyu Balozi.
 
Mkuu tunasubiri picha.
 
Aisee mmemuona Balozi wa Canada nchini Tanzania wakati wa kupokea ndege? yule dada ni shida, sura ipo, chura ndo balaa.

Sisi tuliozoea kula mademu wa Kizungu huyu anafaa,

Vipi nawezaje pata namba yake huyu Balozi.
Tuma maombi
 
Akili za Africa 80% anapo ona mwana mke hata kama ameshikilia dhahabu akili zake zinampeleka kuwaza ngono tu...... kweli tutafika uchumi wa kati wa viwanda.!!!! Huyu mama kipato chake kwa mwezi sio chini ya $200,000 sawa na Tsh420m wewe mualimu wa primary unapokea take home Tsh400,000 sawa na $170 kwa mwezi ila mawazo yako unataka kusex nae tu.....poor peasants duh
 
Aisee mmemuona Balozi wa Canada nchini Tanzania wakati wa kupokea ndege? yule dada ni shida, sura ipo, chura ndo balaa.

Sisi tuliozoea kula mademu wa Kizungu huyu anafaa,

Vipi nawezaje pata namba yake huyu Balozi.
Mbona hata wewe Chura yako inavutia!!
 
Sijui kwanini sinaga mzuka na white-white people bora Black-White people.
 
Cheki ulivyo mshamba masikini eti ana pesa kunizidi siwezi mbandua kwa kukujulisha nilisha kuwa na demu ana hela nyingi saaaaaana ila nilijilia tu
 
Hako kanguo alikovaa sasa,I guess cameramen wameona hadi tamu! Najua wanadiplomasia hufaa nadhifu.
 
nilimuona wakati anainuka kwenda kucheza ngoma za asili akamfata Emma Mbasha naye Mbasha akamkwepa,, jamaa boze kweli lile,,
 
Aisee mmemuona Balozi wa Canada nchini Tanzania wakati wa kupokea ndege? yule dada ni shida, sura ipo, chura ndo balaa.

Sisi tuliozoea kula mademu wa Kizungu huyu anafaa,

Vipi nawezaje pata namba yake huyu Balozi.
Hahah Mkuu nenda pale barabara inayoambambaa ufukweni ukitokea sarenda utayaona makazi yake. Yako kandokando ya bahari. Yule kwa kweli ni shidaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…