Balozi Sefue wacha usanii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balozi Sefue wacha usanii

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kinepi_nepi, Sep 9, 2008.

 1. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #1
  Sep 9, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wana wa houston walihuzunishwa kupitiwa na balozi sefue baada ya kikao chake na eti wawekezaji ktk jiji la houston.
  kitendo cha sefue kutotoa au kueleza ugeni mzima uliofika Houston ukitafuta wawekezaji kimeonekana kama ni usanii mkubwa. kwani wako watanzania wengi walikuwa na haja ya kuonana na wakurugenzi wanaoshughulikia maswala ya uwekezaji na kujua taratibu. hawa wakurugenzi wametumia fedha za walipa kodi kuja kutafuta mianya ya wawekzaji halafu wanawakimbia watanzania ambao ama wana info za mabepari wenye fedha au tayari nao wamepewa nguvu na makampuni wanayofanyia kazi kutafuta sehemu za kwenda kujipanua.

  Mambo haya ya kificho ndio yaliyozaa Richmond, kwani wangeweka wazi wangepewa CV ya kila kampuni jijini Houston.

  Sefue alichokifanya ni kusema watanzania tunaoishi marekani hatuwezi fikiri tupo kama wale wa nyumbani tunapenda tu habari za magazeti, Sefue aliendelea kusema eti kama kuna mtu anaona kuna ufisadi aende mahakamani, na alitumia sana mfano wa Daniel Yona ambaye alidai hawezi kuhojiwa labda mahakamani. Sefue alimtetea mkapa kuwa sio mwizi wala fisadi.

  Nilishindwa kuelewa kuwa huyu ni mtumishi wa serikali au la.
   
 2. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,652
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  CV ya kampuni ndiyo ikoje hiyo? Sasa hujui kwamba naye huyo Sefue anatafuta ulaji hapo? Ujinga ni wenu wenyewe, kwa nini mlimuamini wakati mkijua wazi ni mwakilishi wa serikali ya kifisadi na mafisadi? Kwa kifupi mmeliwa! Na ujinga wenu ndiyo umewaponza! Sanasana uyo Sefue atatumia "info" mnazompatia kwa faida yake binafsi kuwaalika hao wawekezaji mabepari kwa makubaliano wamlipe 10%. Unashangaza wewe unaposhangaa kama jamaa ni "mtumishi wa serikali au la" wakati hapohapo ukidai kwamba alikuwa akiwatetea Yona na Mkapa? Unashangaa kitu gani? No insults intended, lakini kwa maoni yangu watu kama wewe ndiyo perfect example of ignorant and confused citizens of Tanzania. Bora uukwae uraia wa Marekani tuondokane na angalau mpuuzi mmoja kama wewe!
   
 3. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  Asante sana kwa mchango mzuri. But go back and read the msg btn the lines.
   
 4. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,652
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Bila shaka nia yako ni njema kwa nchi yako na raia wake. Lakini haisaidii kitu kuwa na nia nzuri tu. You need to know your enemy. That's the cardinal rule of any self-respecting struggle for liberation. There's little if any room to suffer fools lightly, or else you'll end up dead and buried in no time.
   
Loading...