VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue,aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga,Mama Anne Kilango Malecela na watumishi wengine walioondolewa mamlakani na kuahidiwa nafasi nyingine,bado hawajapatiwa nafasi hizo nyingine.
Hatahivyo,watumishi hao waandamizi wanaendelea kulipwa mishahara na stahiki zao nyinginezo. Wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanaliona jambo hilo kama linalohalalisha 'watumishi hewa' wanaopigwa vita kubwa na Serikali ya Rais Magufuli.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Ruvuma)