Balozi Mpungwe - Bara la Afrika, tumeachwa njia Panda

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,200
Nchi za kiafrika zimeshindwa kubaini uwanda mpya uliopo ulimwenguni baada ya vita baridi kati ya nchi kubwa kuisha anasema balozi Ami Mpungwe.

Africa imeshindwa katika mapinduzi ya kiviwanda na pia sasa uwanda wa globalisation Afrika pia imeachwa katika kituo cha basi, kwa maana kiteknolojia bara la Afrika limeshindwa kuingia katika mapinduzi ya nne ya kiviwanda ambayo yanaongozwa na Teknolojia, Akili bandia - AI , digital currency kuondokana na utegemezi wa sarafu ya dolari ya kimarekani n.k anasisitiza mwanajopo Bi. Velina Tchakarova

Cape Town Conversation | The Return of Great Power Politics: Risks and Implications |

View: https://m.youtube.com/watch?v=nqOAMZCXXIw
We are once again in the era of Great Power Politics, as geopolitical competition between major powers intensifies, accelerated by the pandemic and recent global conflicts.

The emerging global order of competition and rivalry will bear an impact on sustainable development, climate change, trade and technology.

Speakers: Ami Mpungwe, Former High Commissioner of Tanzania to South Africa and Chairman, Kilombero Sugar Company Velina Tchakarova, Founder, For A Conscious Experience (FACE)Moderator: Lydia Kostopoulos, Founder, Abundance Studio
 
Ami Mpungwe aliyekuwa anazima disco letu la Mawingu Coco beach miaka ile kwa sababu ya madaraka yake bado yuko hai na anaweza kuongea na kusikilizwa ? hakika hela ni sabuni ya roho
 
Ami Mpungwe aliyekuwa anazima disco letu la Mawingu Coco beach miaka ile kwa sababu ya madaraka yake bado yuko hai na anaweza kuongea na kusikilizwa ? hakika hela ni sabuni ya roho
Naye anaongea eti

Huyu anatu enjoy watanzania

Ova
 
Back
Top Bottom