Polen sana. huyu mzee alikuwa mwenyekiti wa baraza la chuo cha Sokoine na alipostaafu kamwachia Luhanjo yule katibu kiongozi. cha kushangaza sana huyu jamaa ni mzee sanaa, sijui kwa nini asiachwe akapumzike? Yaani kwenye watanzania wote, hakuna anayefaa zaidi ya huyu mzee? Ndio maana hatuendelei maana mzee kama huyu hana dreams au fantasies tena, yupo tuuuu!
Siasa bhana, sijui kwa nini wanasiasa hawana akili, hata ya kuona vitu vya wazi kama hivi