TANZIA Balozi Juma Mwapachu afariki Dunia

R.I.P
 
One of the best smart and intelligent Tanzanian….British Tanganyika Legion Club imepoteza member mwingine muhimu. Nakumbuka sana mijadala yenu moto moto na Jenerali Ulimwengu pale Clabuni!
Kama kijana niliyekuwa nikichipukia kwenye uongozi wa juu nilijifunza mengi sana kutoka kwenu wazee!
Pale Clabuni palikuwa shule haswaa ya maarifa na siasa kwa mijadala yenu na mabishano yenye tija.
 
Kweli alikua mwanasheria,mchumi hawezi tamani nchi nzima wawe matajiri, sababu haiwezekani
 
Rest in eternal peace kamarada mzee wetu balozi Juma ,amen !

Wakazi wa Mikocheni watakumiss dearly !

#Mwanakindakindaki wa JMT,aluta continua !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…