TANZIA Balozi Juma Mwapachu afariki Dunia

May Juma Gentle Soul rest well
 
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) 2006-2011, Balozi Juma Mwapachu amefariki dunia leo, tarehe 28 Machi 2025, jijini Dar es Salaam

Balozi Mwapachu amewahi kushika nyadhifa mbalimbali, ikiwemo Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa. Pia amekuwa kiongozi katika sekta ya biashara na maendeleo, ikiwa ni pamoja na kuwa Rais wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)
Source Mwanahalisi online
 
Acha makasiriko mzee muulize mleta mada kuwa wasifu kaweka baada ya muda gani.
Hakuna cha muda gani.

Tofautisha mada za cerebrities na vichekesho, wewe umeambiwa ni msiba, halafu eti unajidai ''ni nani huko daslamu''

Inaonyesha huna hekima wala busara.

Jifunze dogo, usiwe unakomenti tu ilimradi ulishawahi kuona wanakomenti, soma kwanza mada inahusu nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…