Balozi Dkt. Slaa atoa somo

Balozi Dkt. Slaa atoa somo

Elius W Ndabila

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
339
Reaction score
677
Jana nimeona video za Dkt Slaa kwenye social media ambazo alihojiwa na wanahabari baada ya mkutano wa viongozi wa SADC uliofanyika jijini Dar es salaam Tanzania. Dkt Slaa kwenye video hizo amezungumza mambo mbalimbali hususani mambo ya kiuchumi na mambo ya kisiasa ambayo msingi wake mkubwa ni UZALENDO.

Sijajua wewe mwenzangu umejifunza nini juu ya maneno yale ya Balozi. Funzo kubwa ambalo mimi nimejifunza ni kuwa Watanzania wengi wanaamini Wazungu ni wazalendo kwetu kitu ambacho si sahihi. Ukisikiliza kwa umakini Dkt anasema yanayofanyika huku Afrika huko Ulaya yanafanyika mara dufu. Na amesisitiza pamoja na kwamba wao nchi zao zipo katika Dunia ya kwanza bado kuna takataka nyingi za uvunjifu wa haki za kibinadamu huku akitolea mfano Gwantanamo.

Dkt amejaribu kutoa elimu kuwa kunapokuwa na mambo ya ndani ya nchi basi yazungumzwe ndani ya nchi. Kama ni kuchapana fimbo tuchapane humu humu na kamwe tusitoe mambo yetu nje. Amesema kutoa mambo yenu nje ni kuruhusu mianya ya kuwapenyeza watu wanaozitamani rasilimali zetu kwa ajili ya nchi zao.

Kubwa kuliko yote pamoja na kuwa msingi wa Dkt Slaa alijikita kuwaambia Watanzania kuwa wawe wazalendo, lakini alikuwa anafikisha ujumbe kuwa vita ya uchumi kwa dunia ya leo ndiyo ngumu kuliko vita yoyote.

Tunatambua kuwa ili nchi zilizoendelea ziendelee kuwa na viwanda imara, masoko ya bidhaa zao, malighafi kwa ajili ya viwanda vyao na miundo mbinu bora katika nchi zao waitegemea zaidi afrika. Bidhaa nyingi tunazoenda kununua ulaya na kuziingiza kwenye masoko yetu ni wazi kuwa mali ghafi zimetoka huku huku afrika. Hivyo wanapojitokeza viongozi ambao wanataka malighafi hizi zichakatwe hapa hapa na kutolewa nje zikiwa zimeongezwa thamani basi ujue unajitengenezea maadui ambao walikuwa wakitegemea malighafi hizi.

Mh Rais tangu hotuba yake ya kufungua Bunge alishaonyesha dhamira yake ya dhati katika kulinda uchumi wa Tanzania na kufufua viwanda. Matokeo ya kukusanya mapato na kubana matumizi tunaona matokeo yake. Mambo makubwa yanafanyika hapa nchini katika kipindi chake na bado ameendelea kusisitiza kuwekeza kwenye viwanda na kulinda rasilimali zetu hasa madini, misitu, Wanyama n.k. Kufanya hivyo tayari amejitengenezea maadui wa ndani na nje waliokuwa wanatumia mianya hiyo kujinufaisha.

Wanasiasa na wanaharakati wanaodhani wazazi wao ni wazungu, wanaodhani kunapotokea matatizo hapa nchini basi baba na mama zao ni wazungu wa kwenda kusemelea watambue kuwa wanawatengenezea maisha magumu watoto wao na wajukuu zao. Hawa wazungu ambao waligawana bara letu tangu 1884 baada ya mkutano wa Bern ndio waliotufikisha hapa. Hawana nia njema na sisi. Hawa ndio waliwaua ndugu zetu kwa kuwachinja, kuwachapa, kuwafunga minyororo, kuwatosa baharini na kuwafanyisha kazi ngumu(manamba). Ni matatizo ya akili kama tunaona watu waliotusababishia wimbi hili la umasikini kuwa leo wanaweza kutusaidia.

Wanachofanya kama ilivyokuwa zamani akikupa 2 ujue amechukua 100. Historia inatukumbusha kuwa walikuwa wanachukua madini yetu na kuwaletea babu zetu nguo, sigara, bangili au saa. Hivyo hata leo wanafanya hivyo ijapo si rahisi kwa kuwa ukoloni wa sasa umeboreshwa na Waafrika wenye akili nao wameungana nao kama ilivyokuwa kwa akina Karl Peters, Livingston na akina Henury Morton.

Mwandishi Okot P'Bitek kwenye kitabu cha Song of Lawino and Song of Ocol anaandika "Dont uproot pumpkins in the old homestead". Waafrika wengi tunadharau vya kwetu na kuamini vya Wazungu. JPM amekuja muda mwafaka, tumuunge mkono. Kama ni kumkosoa basi tutumie lugha zetu na utamaduni wetu wa ndani kukosoa kwani hata yeye si malaika. Ulaya hawatawasaidia zaidi mnawatafutia njia ya kutunyonya zaidi.

Mambo mengine ya Diplomasia ya kimataifa tuwaachie Ambassadors na Consular agent(Wanadiplomasia ya uchumi) waendelee nayo huko.
 
Tumesema tunahitaji tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Huyo rais hajawahi kusikia madai haya? Je anataka mpaka tuchinjane ndio akubali matakwa ya umma? Huyo Slaa ambaye leo analia kivulini, anatoa somo gani ambalo wanaccm hawajawahi kutuambia ili waendelee kukaa madarakani?
 
Anayoongea ni kweli lakini je ameshakaa na mkuu wa nchi na kujadiliana haya alioongea? Kwani shida ipo wapi??? Mm uelewa wng ni kuwa mkuu wa nchi ndio mwenye tatzo kwa nn hataki kujadiliana na viongozi wngne wa upinzani??
 
Huyo ndio kiongozi bora wa muda wote kupata kutokea Chadema alipotoka tu pengo lake mpaka leo halizibiki!
Mvinyo bora ni ule ambao umekaa sana kwenye kasha. Mheshimiwa Slaa ni mmoja wapo kati ya viongozi bora lakini kwa sababu za kisiasa havumi sana.
 
Tumesema tunahitaji tume huru ya uchaguzi na katiba mpya. Huyo rais hajawahi kusikia madai haya? Je anataka mpaka tuchinjane ndio akubali matakwa ya umma? Huyo Slaa ambaye leo analia kivulini, anatoa somo gani ambalo wanaccm hawajawahi kutuambia ili waendelee kukaa madarakani?
Matakwa ya bavicha ndo yamekuwa ya umma cha pili kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano tume ya uchaguzi ni guru.
 
Jana nimeona video za Dkt Slaa kwenye social media ambazo alihojiwa na wanahabari baada ya mkutano wa viongozi wa SADC uliofanyika jijini Dar es salaam Tanzania. Dkt Slaa kwenye video hizo amezungumza mambo mbalimbali hususani mambo ya kiuchumi na mambo ya kisiasa ambayo msingi wake mkubwa ni UZALENDO.

Sijajua wewe mwenzangu umejifunza nini juu ya maneno yale ya Balozi. Funzo kubwa ambalo mimi nimejifunza ni kuwa Watanzania wengi wanaamini Wazungu ni wazalendo kwetu kitu ambacho si sahihi. Ukisikiliza kwa umakini Dkt anasema yanayofanyika huku Afrika huko Ulaya yanafanyika mara dufu. Na amesisitiza pamoja na kwamba wao nchi zao zipo katika Dunia ya kwanza bado kuna takataka nyingi za uvunjifu wa haki za kibinadamu huku akitolea mfano Gwantanamo.

Dkt amejaribu kutoa elimu kuwa kunapokuwa na mambo ya ndani ya nchi basi yazungumzwe ndani ya nchi. Kama ni kuchapana fimbo tuchapane humu humu na kamwe tusitoe mambo yetu nje. Amesema kutoa mambo yenu nje ni kuruhusu mianya ya kuwapenyeza watu wanaozitamani rasilimali zetu kwa ajili ya nchi zao.

Kubwa kuliko yote pamoja na kuwa msingi wa Dkt Slaa alijikita kuwaambia Watanzania kuwa wawe wazalendo, lakini alikuwa anafikisha ujumbe kuwa vita ya uchumi kwa dunia ya leo ndiyo ngumu kuliko vita yoyote.

Tunatambua kuwa ili nchi zilizoendelea ziendelee kuwa na viwanda imara, masoko ya bidhaa zao, malighafi kwa ajili ya viwanda vyao na miundo mbinu bora katika nchi zao waitegemea zaidi afrika. Bidhaa nyingi tunazoenda kununua ulaya na kuziingiza kwenye masoko yetu ni wazi kuwa mali ghafi zimetoka huku huku afrika. Hivyo wanapojitokeza viongozi ambao wanataka malighafi hizi zichakatwe hapa hapa na kutolewa nje zikiwa zimeongezwa thamani basi ujue unajitengenezea maadui ambao walikuwa wakitegemea malighafi hizi.

Mh Rais tangu hotuba yake ya kufungua Bunge alishaonyesha dhamira yake ya dhati katika kulinda uchumi wa Tanzania na kufufua viwanda. Matokeo ya kukusanya mapato na kubana matumizi tunaona matokeo yake. Mambo makubwa yanafanyika hapa nchini katika kipindi chake na bado ameendelea kusisitiza kuwekeza kwenye viwanda na kulinda rasilimali zetu hasa madini, misitu, Wanyama n.k. Kufanya hivyo tayari amejitengenezea maadui wa ndani na nje waliokuwa wanatumia mianya hiyo kujinufaisha.

Wanasiasa na wanaharakati wanaodhani wazazi wao ni wazungu, wanaodhani kunapotokea matatizo hapa nchini basi baba na mama zao ni wazungu wa kwenda kusemelea watambue kuwa wanawatengenezea maisha magumu watoto wao na wajukuu zao. Hawa wazungu ambao waligawana bara letu tangu 1884 baada ya mkutano wa Bern ndio waliotufikisha hapa. Hawana nia njema na sisi. Hawa ndio waliwaua ndugu zetu kwa kuwachinja, kuwachapa, kuwafunga minyororo, kuwatosa baharini na kuwafanyisha kazi ngumu(manamba). Ni matatizo ya akili kama tunaona watu waliotusababishia wimbi hili la umasikini kuwa leo wanaweza kutusaidia.

Wanachofanya kama ilivyokuwa zamani akikupa 2 ujue amechukua 100. Historia inatukumbusha kuwa walikuwa wanachukua madini yetu na kuwaletea babu zetu nguo, sigara, bangili au saa. Hivyo hata leo wanafanya hivyo ijapo si rahisi kwa kuwa ukoloni wa sasa umeboreshwa na Waafrika wenye akili nao wameungana nao kama ilivyokuwa kwa akina Karl Peters, Livingston na akina Henury Morton.

Mwandishi Okot P'Bitek kwenye kitabu cha Song of Lawino and Song of Ocol anaandika "Dont uproot pumpkins in the old homestead". Waafrika wengi tunadharau vya kwetu na kuamini vya Wazungu. JPM amekuja muda mwafaka, tumuunge mkono. Kama ni kumkosoa basi tutumie lugha zetu na utamaduni wetu wa ndani kukosoa kwani hata yeye si malaika. Ulaya hawatawasaidia zaidi mnawatafutia njia ya kutunyonya zaidi.

Mambo mengine ya Diplomasia ya kimataifa tuwaachie Ambassadors na Consular agent(Wanadiplomasia ya uchumi) waendelee nayo huko.
Njaa mbaya kweli leo hii unamsifia slaa? Hatari sana
Africa bila mataifa makubwa kuyamlika wangekuwa wanakula binadamu wenziwe live
 
Makala makini sana kwa anaetaka kuelewa na kujifunza,
Cha ajabu tegemea comment za hovyo sana
 
Matakwa ya bavicha ndo yamekuwa ya umma cha pili kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano tume ya uchaguzi ni guru.

Tume huru haichaguliwi na mwenyekiti wa ccm. Hiyo katiba ya JMT ilikuwa ni ya chama kimoja fullstop. Ni sawa na mechi ya Simba na Yanga, Haji Manara ndio ateue waamuzi na wawe wanamtii yeye.
 
HAWAVUNJI HAKI ZA BINADAMU DHIDI YA RAIA WAO, ACHENI KUTETEA UPUMBAVU.
kuna raia wangapi wa marekani huko guantanamo?
Uzuri Dr slaa anayo majibu kuwa wengi wa upinzani tatizo ni upeo.sina uhakika mnaona waafrika wanavyouliwa marekani na.haki haitendeki.kwa darasa la bure nazo hizo ni haki za binadamu zinatakiwa zichukuliwe sawa na zinavyivunjwa huku kwetu kwa homework yako nenda kagoogle kama kifurushi hakijakata jinsi ukaya inavyoratibu issue ya wahamiaji ambao ndo wanachama wa EU zote ziko kwenye misingi ya haki za binadamu sawa sawa na ushoga ukiridhika njoo na essaey usijali format we jikunje ilimradi inasoneka.
 
Dkt amejaribu kutoa elimu kuwa kunapokuwa na mambo ya ndani ya nchi basi yazungumzwe ndani ya nchi. Kama ni kuchapana fimbo tuchapane humu humu na kamwe tusitoe mambo yetu nje. Amesema kutoa mambo yenu nje ni kuruhusu mianya ya kuwapenyeza watu wanaozitamani rasilimali zetu kwa ajili ya nchi zao.
Nakubaliana na Dr. kwani hili ameliweka vizuri kabisa, tatizo sidhani kama ataeleweka wa wahusika. Kama hakuna fursa ya kuzungumza utazungumza na nani? Ili uzungumze ndani kwa ndani unahitaji watu wastaraabu lakini kama tuna amini kwenye UCHAMADOLA sioni mazungumzo yataanzia wapi. JPM toka ameingia madarakani hajatoa nafasi kwa wapinzani wake sana sana anawafanyia umafia kama ule wa kule Korogwe Kijijini etc. Sasa Dr. apeleke somo huko IKULU na CCM ndiyo tutamuelewa!!!
 
Back
Top Bottom