Balozi Ami Mpungwe anapata wapi ujasiri kuwaita wengine "majipu"?

Balozi Ami Mpungwe,mwanadipolomasia na mtumishi wa umma wa miaka mingi.Alikuwa balozi wetu wa kwanza wa Tanzania nchini Afrika Kusini,Ami Mpungwe ndiye aliyekabidhiwa na chama cha ANC kukaa na Nelson Mandela week nzima Manyara National Park wakati Mandela akiwa kwenye mfadhaiko mkubwa wa ndoa yake na Winnie Mandela.

Kwa ukweli Balozi Ami Mpungwe katika harakati na ukombozi wa kusini mwa Afrika hakuna asiyemfahamu,Jongwe Robert Mugabe,Thabo Mbeki,Comrade Pohamba,Jacobo Zuma na kina Kenneth Kaunda ni moja ya watu wanaomfahamu Mpungwe kama mmoja wa "vijana" wa Mwalimu Nyerere aliyepigania ukombozi wa nchi zao na kuufukuzia mbali ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini.

Lakini ukisema utaje watu waliotumbukiza nchi hii katika matatizo ya "uwekezaji wa makaburu" basi jina la mwana Ifakara Balozi Ami Mpungwe halikosi kuwepo,juzi ameonekana kwenye TV na wameitisha kipindi Maalumu ITV kuelezea kupanda kwa bei ya sukari,na kuwaelezea watu wanaoingiza sukari toka nje kama ni "Majipu yaliyoiva muda mrefu na kukosa kutumbuliwa",kauli hii si ya kutolewa na Balozi Mpungwe huyu tunayemfahamu.

Balozi amekuwa kama wakala wa wawekezaji "wanyonyaji" huku yeye akiwekwa kama "Non-Executive Director" ili kulinda maslahi ya wawekezaji hao.

Mfano wa Mashirika ambayo Mpungwe amewekwa kama "Buffer zone" yao dhidi ya Serikali ni kama:
-Tanzanite One
-Multi Choice Tz
-Illovo Sugar hawa wanamiliki Kiwanda cha Kilombero
-Tanzania Breweries
-NBC Tanzania Ltd(1997)
Air Tanzania Ltd(Hii aliiuza kwa South Africa Airways matokeo yake shirika letu likafa kifo cha mende
African Gem Resources
-TANESCO(Ndio aliwaleta Net Group Solutions kwa mtutu na wakaiharibu Tanesco).

Na kwasasa ni mwenyekiti wa Wazalishaji wa Sukari Tanzania,katika mashirika yote hayo aliyokaa hali kwa wazawa ilikuwa mbaya,kule Tanzanite One tumeona jinsi wafanyakazi walivyodhulumiwa na kuishi kwa tabu,mpaka sasa Tanzanite ikaonekana inatoka Kenya na S.Africa.

Sisi washabiki wa mpira tunajua jinsi DSTV ya Multi-Choice ilivyotulipisha kwa dola badala ya shilingi,wafanyakazi wa Kilombero na ugumu wa mazingira ya kazi.

Tunajua jinsi Air Tz ilivyochomekwa ndani ya South Africa Airways na kuiua kabisa,sasa South Afrika ndege yao inakuja mara mbili kwa siku Dar es Salaam wakati ATCL ipo mahututi,"Ujanja Ujanja" huu wa Comrade Mpingwe aligunduliwa na Balozi Abas Sykes wakati huo Sykes ni Mwenyekiti wa bodi ya ATCL akanusa jinsi Mpigwe anavyotaka "kuliuza" shirika,Kwa uchungu Sykes alisema "Mpigwe ni kijana wetu,tumemtuma Afrika Kusini akawe muwakilishi wetu,lakini amegeuka kuwa wakala wa makaburu na kutka kuliuza shirika letu,vijana wa sasa wanawaza maslahi yao badala ya maslahi ya Taifa",matamshi haya yalimfanya Balozi Mpingwe amfungulie kesi Balozi Abasi Sykes na Gazeti la Mtanzania,kesi iliunguruma Mahakama kuu kwa muda.

Huyu ndio balozi Mpingwe,Mwanadiplomasia wa kweli,Jongwe wa kusini mwa Afrika katika harakati za Ukombozi,mwana Ifakara kindakindaki na "wakala" wa makampuni yote ya makaburu Tanzania,anapata wapi kuwaita wengine "majipu" wakati yake mengi watu bado hawajayafumua??
Kwa lugha nzuri huyu ni Kibaraka tu,kweli mvunja nchi ni mwananchi.
 
Uliyajua haya lini mpaka wakuguse ndio useme. Maeneo yote uliyosema Mpungwe kahusika yanaonesha tija kwa macho ya watu wasio na hila moyoni mwao wanaoshukuru hata kwa kidogo.
TBL ilikuwa na viwanda viwili Dar na Arusha na vilikuwa vinapewa ruzuku na serikali kulipa wafanyakazi. Sasa kunaviwanda Mwanza na Mbeya pia inalipa kodi kuliko uchimbaji dhahabu
Net group walijenga uwezo utawala wa Tanesco kwenye kudai wateja. Vyombo vya ulinzi na usalama walikuwa hawalipi umeme na hawakatiwi umeme. Hawa jamaa walikata umeme kambi za polisi mpaka siku 30 mpaka walipopunguza deni. Pia Ikulu ya Zanzibar ilikatiwa umeme pale walipolipa hundi kwenye fungu lisilo na hela. Toka hapo uongozi wa Tanesco wanao ujasiri huo.
Tanzanite one imejenga uwezo wa wachimaji wadogo huko mererani kwa kuhaulisha teknolojia ya uchimbaji kwa wazawa. Sasa hivi swala la mitobozano kwa wachimbaji wadogo na wakubwa ni la kawaida.
Tushukuru hata kwa hichi kidogo ndio uungwana. Waswahili husema asiyeshukuru kwa kidogo, hata akipewa kikubwa hawezi kushukuru.
Balozi Mpungwe alichokifanya ncho kinachoitwa Diplomasia yaKiuchumi si kuhubiri siasa.
Mtoa mada usimkosee adabu Balozi Mpungwe kwa ukuwadi wa waagiza sukari ambao ni adui wa viwanda vyetu vya sukari na ajira za watanzania.
 
Tume ya Maadili ya Viongozi haina meno tena, ilikuwa ni mwiko kwa kiongozi wa umma kujilimbikizia mali pasipo kujua chanzo chake, lakini kwa nyakati hizi imekuwa ni sifa kiongozi kuwa na utajiri uliopindukia bila kujua chanzo chake ,ni hatari sana katika nchi inayojinasibu eti inazingatia misingi ya utawala bora na sheria.
 
Hatutakaa tuuone ufalme wa Mungu watanzania, maana tumelitia najisi hili Taifa wezi wabobezi ndio wamekuwa watoa hukumu kwa wanyonge na wanyonge wengine wanawashangilia na kuwatukuza hao wezi wabobezi,
CCM mbele kwa mbele
 
Tume ya Maadili ya Viongozi haina meno tena, ilikuwa ni mwiko kwa kiongozi wa umma kujilimbikizia mali pasipo kujua chanzo chake, lakini kwa nyakati hizi imekuwa ni sifa kiongozi kuwa na utajiri uliopindukia bila kujua chanzo chake ,ni hatari sana katika nchi inayojinasibu eti inazingatia misingi ya utawala bora na sheria.
Mkuu pitia tena huku
 
Yupo kimya anatafuna hela za raia wenzake....kupe, mnyonyaji, fisadi, mwizi, kibaraka, mnyoo....
 
Huyo sijui kakoswakoswa Vp kwenye mambo ya uhujumu uchumi....
Ndomana Sahv katuliaa kimyaaa aongei wala kujikuna

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu huwa hayafukiwi jumla, waweza kuliamsha muda wowote...😎😀...
Honestly, jamaa anayo nyumba inayo i control kwa laptop, kuanzia kuwasha taa mpaka kuzima friji!
Twauliza kwa mshahara au mafao gani?!
Dah! Kutoka comrade mpigania Uhuru mpaka mpigania mabepari.
 
ninyi watoto wa simba na mama yenu tunawaangalia, mwacheni balozi
 
The state inawatumia watu loyal kwa taifa wazalendo wa kweli!!

Sasa move ya mpina dhidi ya wahuni naielewa!
 
Balozi Ami Mpungwe,mwanadipolomasia na mtumishi wa umma wa miaka mingi.Alikuwa balozi wetu wa kwanza wa Tanzania nchini Afrika Kusini,Ami Mpungwe ndiye aliyekabidhiwa na chama cha ANC kukaa na Nelson Mandela week nzima Manyara National Park wakati Mandela akiwa kwenye mfadhaiko mkubwa wa ndoa yake na Winnie Mandela.

Kwa ukweli Balozi Ami Mpungwe katika harakati na ukombozi wa kusini mwa Afrika hakuna asiyemfahamu,Jongwe Robert Mugabe,Thabo Mbeki,Comrade Pohamba,Jacobo Zuma na kina Kenneth Kaunda ni moja ya watu wanaomfahamu Mpungwe kama mmoja wa "vijana" wa Mwalimu Nyerere aliyepigania ukombozi wa nchi zao na kuufukuzia mbali ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini.

Lakini ukisema utaje watu waliotumbukiza nchi hii katika matatizo ya "uwekezaji wa makaburu" basi jina la mwana Ifakara Balozi Ami Mpungwe halikosi kuwepo,juzi ameonekana kwenye TV na wameitisha kipindi Maalumu ITV kuelezea kupanda kwa bei ya sukari,na kuwaelezea watu wanaoingiza sukari toka nje kama ni "Majipu yaliyoiva muda mrefu na kukosa kutumbuliwa",kauli hii si ya kutolewa na Balozi Mpungwe huyu tunayemfahamu.

Balozi amekuwa kama wakala wa wawekezaji "wanyonyaji" huku yeye akiwekwa kama "Non-Executive Director" ili kulinda maslahi ya wawekezaji hao.

Mfano wa Mashirika ambayo Mpungwe amewekwa kama "Buffer zone" yao dhidi ya Serikali ni kama:
-Tanzanite One
-Multi Choice Tz
-Illovo Sugar hawa wanamiliki Kiwanda cha Kilombero
-Tanzania Breweries
-NBC Tanzania Ltd(1997)
Air Tanzania Ltd(Hii aliiuza kwa South Africa Airways matokeo yake shirika letu likafa kifo cha mende
African Gem Resources
-TANESCO(Ndio aliwaleta Net Group Solutions kwa mtutu na wakaiharibu Tanesco).

Na kwasasa ni mwenyekiti wa Wazalishaji wa Sukari Tanzania,katika mashirika yote hayo aliyokaa hali kwa wazawa ilikuwa mbaya,kule Tanzanite One tumeona jinsi wafanyakazi walivyodhulumiwa na kuishi kwa tabu,mpaka sasa Tanzanite ikaonekana inatoka Kenya na S.Africa.

Sisi washabiki wa mpira tunajua jinsi DSTV ya Multi-Choice ilivyotulipisha kwa dola badala ya shilingi,wafanyakazi wa Kilombero na ugumu wa mazingira ya kazi.

Tunajua jinsi Air Tz ilivyochomekwa ndani ya South Africa Airways na kuiua kabisa,sasa South Afrika ndege yao inakuja mara mbili kwa siku Dar es Salaam wakati ATCL ipo mahututi,"Ujanja Ujanja" huu wa Comrade Mpingwe aligunduliwa na Balozi Abas Sykes wakati huo Sykes ni Mwenyekiti wa bodi ya ATCL akanusa jinsi Mpigwe anavyotaka "kuliuza" shirika,Kwa uchungu Sykes alisema "Mpigwe ni kijana wetu,tumemtuma Afrika Kusini akawe muwakilishi wetu,lakini amegeuka kuwa wakala wa makaburu na kutka kuliuza shirika letu,vijana wa sasa wanawaza maslahi yao badala ya maslahi ya Taifa",matamshi haya yalimfanya Balozi Mpingwe amfungulie kesi Balozi Abasi Sykes na Gazeti la Mtanzania,kesi iliunguruma Mahakama kuu kwa muda.

Huyu ndio balozi Mpingwe,Mwanadiplomasia wa kweli,Jongwe wa kusini mwa Afrika katika harakati za Ukombozi,mwana Ifakara kindakindaki na "wakala" wa makampuni yote ya makaburu Tanzania,anapata wapi kuwaita wengine "majipu" wakati yake mengi watu bado hawajayafumua??

Kumbe Ami Mpungwe ni smart kiasi hiki, anafaa sana huyo. Ebu angalia majizi yaliyopo serikalini yanavyoiba kodi. Kumbe jamaa anisaidie wawekezaji kuingia nchini na anawekwa buffer zone. Jamaa ni very smart kichwani basi. Kuna watu kazi yao ni kula pesa za miradi ya serikali na wengine wanafanya mradi hewa.
 
Back
Top Bottom