wote waliotajwa hapo wamechezea AC Milan...
Hapo ndo utagundua ili ukamilike basi ni lazima ukakipute AC Milan...
Naomba kufunga mjadala.
Tehe Tehe naona umeshindwa kubishana na Idol wako Ronaldinho ambaye Idol wake ni Ronaldo!
Nitabishana na wewe, lakini siwezi bishana na mtume na nabii wa mwisho wa Soka...
Dinho the Saint
Mario ni mchezaji mzuri ila honestly bado hajafikia kiwango cha kulinganishwa na Ronaldinho!
Hebu mpe Dinho heshima yake sio kuja tu kulinganisha na yeyote tu,eti kisa wamecheza timu moja katika nyakati tofauti!
Kwa mtindo huu, hamchelewi kumlinganisha Dinho na Samata!! Huwa wanaanza hivi hivi!!
katika hali ya kuwasuta mahasidi, Mshambuliaji mwenye uwezo wa ajabu ambaye anaweza kufunga magoli ya aina zote na yenye ladha Super Mario Balotelli hapo jana aliweza kuisaidia klabu yake kipenzi ambayo pia ni yenye mafanikio zaidi Duniani yaani AC Milan kupata point 3 huku yeye akifunga magoli mawili pekee.
Kwa mahesabu yaliyopo sasa yanaeleza kuwa Mario Balotenga ameshaichezea AC Milan mechi 7 na kuifungia goli 8.
Forza Balo...
De lima alikuwa mkali kwenye kufunga, namba 9, ndio maana huwezi kumlinganisha mchezaji wa namba nyingine kama ronaldinho ambaye alikuwa mchezeshaji ni vitu viwili kila mtu ni mkali kwenye eneo lake japo ronaldinho alikuwa anafunga pia, ndio maana hata huwezi kumlinganisha na baloteli. kwanza hata hawalingani hadhi achilia mbali namba uwanjani.
kama unataka na wa kumpambanisha mpambanisha ronaldinho na zizou.
Companero Kwani mimi nimekataa, nachojaribu kusema ni kuwa hawa ni watu (ronaldo & ronaldinho)wanaocheza namba mbili tofauti na majukumu mawili tofauti ni vigumu kuwalinganisha kiuchezaji. kwamba ronaldinho anamuadmire ronaldo, hyo sio issue kwani wachezaji wote wanakua na role model wao hata mesi anaye role model wake. hata hivyo mimi sina shida sana na hili ila shida yangu kubwa ni kumlinganisha ronaldinho na baloteli.
Kuhusu ROnaldo Lima jamaa alikuwa Pure Basic Striker anajua goli lipo wapi ana Speed ana nguvu na skill ya kumtoka Kipa hapa kwa hapa ila Ronaldinho ni kitu kengine jamaa alikuwa Artists wa mpira wa miguu na kavumbua vitu ambavyo mtu ulikuwa ukitizama unasema ???? :A S 39::yo:???? <------- ndio unachosema .
hata waalimu huwafundisha watu na baadae huzidiwa maisha na waliowafundisha,ronaldinho anachokifanya ni kulipa fadhila lakini dinho ni zaidi ya mcheza soka.dinho ni mungu wa mpira kwangu mimi lakini.Yaani unabishana na Ronaldinho mwenyewe anayekuambia kajifunza kila kitu kwa Ronaldo?