Balo la viatu vya Mtumba

Aisee Mbeya viatu vikali sana mzee af bei kitonga sana
 
Kama unaanza biashara, huyo jamaa wa Mwanza amekupa ushauri mzuri kwa kuwa atakuuzia viatu ambavyo ni chaguo lako.

Robota ni kama kuingiza mkono gizani na unakuwa hujui kile utakachotoka nacho. Na niliwahi kusikia ili biashara isisumbue ni heri kununua robota zaidi ya mbili.

Kwa maana ya kwamba marobota yaweze kubebana, ikiwa kati yake ikiwa na viatu vibaya vingi.

Ova
 
Unaweza kunielekeza niende maana nataka kuanza biashara ya viatu na yebo za mtumba
Kuna rafiki yangu ni mghana anastore yake maeneo ya karikaoo karibu kabisa na ilala niko tayari kukuelekeza uende mwen
 
Mzeeiya ninyi ndio mnaipa jamii forum utukufu wake barikiwa sana sana kwa niaba ya jf na wadau wake.like.
 
Mkuu naomba location ya chimbola kupoint viatu.
Nina mdogo wangu anajitafuta ajira hana.
Natanguliza shukrani.
 
Bora upoint.
Kupoint ndio unafanyaje kiongozi?
He unachagua wanakupangia bei au bei unataja mteja, naomba muongozo maana nataka nianze kufuata sendo,viatu na backpack pale Karume kwaajili ya biashara
 
Kupoint ndio unafanyaje kiongozi?
Je unachagua wanakupangia bei au bei unataja mteja, naomba muongozo maana nataka nianze kufuata sendo,viatu na backpack pale Karume kwaajili ya kufungua goli la biashara
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…