Balloteli: Madrid mkiwafunga Dortmund ntawapa demu wangu mlale nae

Balloteli: Madrid mkiwafunga Dortmund ntawapa demu wangu mlale nae

Mourinho

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
4,619
Reaction score
2,328
Super Mario ametoa kali ya mwaka baada ya kuwaambia wachezaji wa Real Madrid kama watawafunga na kuwatoa Dortmund kwenye UCL hapo kesho, atawapa demu wake wamsex.

http://www.thesun.co.uk/sol/homepage/news/4907736/mario-balotelli-tells-real-madrid-win-and-you-can-have-sex-with-my-girlfriend.html
 
balotelli hajisikii raha bila kutajwatajwa na vyombo vya habari!balo bwana!
 
Huyo chizi tu, aliyemsikia ana shida ya demu wake ni nani?
 
balotelli hajisikii raha bila kutajwatajwa na vyombo vya habari!balo bwana!
sio chizi anajua bundes nini hata mourino kimya kabisa bundes wabaya tena hawa real walitakiwa wawe waangalifu wenzao wamepewa dozi nao wameipokea dozi ileile sema supa mario balozi wa watu weusi lakini ajabu weusi wenzako wasio jitambua wanakuita chizi na tuone uchizi wa mario the supa na we unaemuona chizi kwangu Mario ni mzezaji bora ulaya tatizo rangi
 
sio chizi anajua bundes
nini hata mourino kimya kabisa bundes wabaya tena hawa real walitakiwa
wawe waangalifu wenzao wamepewa dozi nao wameipokea dozi ileile sema
supa mario balozi wa watu weusi lakini ajabu weusi wenzako wasio
jitambua wanakuita chizi na tuone uchizi wa mario the supa na we
unaemuona chizi kwangu Mario ni mzezaji bora ulaya tatizo rangi

Lugha gani hii umetumia? Mungu wangu
 
Walale nae kama team au kuna mtu kamchagua?
 
Dah! Natamani itokee Madrid kapita ili nione kama atatimiza ahadi
 
Balloteli ni mtu na akili zake, anajua hilo haliwezi kutokea na ndio maana kasema hivyo. Naona wadau mmekuwa wakali kichiz, ndio soka, utani lazima uwepo. obwato, acha hasira
 
Last edited by a moderator:
Ye si shoga kwanini asiseme atmgawia christ ronaldo ile kisamvuake
 
Mzushi tu huyo. Timu yake ya AC Milan ilipoifunga 2-0 Barca kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali aliapa kuwa kama Barca wangeifunga Milan kwenye mechi ya marudiano na kuwatoa angejiua. Atimize kwanza hilo!
 
Yeye mwenyewe anaitwa super bikira Maria,kwanini asijiweke rehani mwenyewe kwa jina lake la kike,wenzie kina Anita wa Newcastle acha yule Rose wa Sunderland wameuchuna,kweli Maria Balotelli
 
Yeye mwenyewe anaitwa super bikira Maria,kwanini asijiweke rehani mwenyewe kwa jina lake la kike,wenzie kina Anita wa Newcastle acha yule Rose wa Sunderland wameuchuna,kweli Maria Balotelli

Hahahahahahahahaaaa, Mkuu unatafuta ugomvi na watu hapa!
 
Mzushi tu huyo. Timu yake ya AC Milan ilipoifunga 2-0 Barca kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali aliapa kuwa kama Barca wangeifunga Milan kwenye mechi ya marudiano na kuwatoa angejiua. Atimize kwanza hilo!

Mkuu Super Mario hakuwahi kutamka kauli hiyo.
Achana na habari za Edo kumwembe...

Period
 
Yeye mwenyewe anaitwa super bikira Maria,kwanini asijiweke rehani mwenyewe kwa jina lake la kike,wenzie kina Anita wa Newcastle acha yule Rose wa Sunderland wameuchuna,kweli Maria Balotelli

Hakuna uhusiano wa jina na jinsia ya m2 cha msingi ni utambulisho. Ni sawa na huku kwe2 wapo akina Zawadi, Furaha, Maua, Shija, Shida na wengineo katka jinsia zote.
 
Japo Madrid hawakuweza kupata ofa nono ya Balotelli, ofa imemtokea puani mtoa ofa

NO MORE FANNY FOR SEX BET BALOTELLI

MARIO Balotelli has been dumped by his girlfriend Fanny Neguesha — just days after he said the entire Real Madrid team could sleep with her.

Model Fanny, 22, moved out of the footie bad boy’s mansion in Italy following blazing rows over his joke remark and partying.

AC Milan star Balotelli, 22, said the players — who include Cristiano Ronaldo — could have sex with Fanny if they managed to go through after losing the first leg of the Champions League semi-final 4-1 to Borussia Dortmund.

The ex-Man City ace said: “If Real Madrid make it to the Champions League final, I will let my girlfriend sleep with all their players.” He later denied saying it.
 
Back
Top Bottom