Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Bao lake la dakika ya 84 dhidi ya Torino limeifanya AC Milan kuizidi alama 4 Fiorentina. Fiorentina na Milan zipo vitani kugombea nafasi ya tatu ya kucheza Klabu Bingwa Barani Ulaya kwa timu za Italia. Jana,Fiorentina ilizabwa bao moja kwa bila na Roma na hivyo kupepesuka vya kutosha. Zimebaki mechi tatu... cc Gang Chomba et al
Last edited by a moderator: